Uchaguzi 2020 Ninawapongeza WanaCHADEMA wa Jimbo la Segerea kwa kumkataa John Mrema na kumpa Agnesta Lambert

Uchaguzi 2020 Ninawapongeza WanaCHADEMA wa Jimbo la Segerea kwa kumkataa John Mrema na kumpa Agnesta Lambert

...Kwa kuwa fomu ilikuwa mojayombo vya juu , vingekasimu masuala yote kwa Kamati Kuu. Vinginevyo mambo yote yaliyokuwa yanafanyika ilikuwa usanii mtupu!

Ni mchakato wa kidemokrasia. Mbona Sumaye alipigwa chini uenyekiti kanda ya pwani japo hakuwa na mshindani!
 
Kwani wewe siulifukuzwa chadema kwa tabia zako za udokozi? Yanini kuendelea kuifuatilia cdm?
John Mrema ni mtu mwenye Cheo sawa na cha Humphrey Polepole wa CCM yaani ni mwenezi wa Chama Taifa.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikimsema humu JF kuwa yeye ndie amekuwa akiivuruga CHADEMA kwa fitina na majungu yake na kumshauri vibaya M/kiti wa Chama chake yeye pamoja na mtu anaitwa Reginald Munisi.

WanaCHADEMA wamenielewa na wamegundua hila zake na sasa wameanza Kumkataa hadharani. Mrema ameshiriki kura za maoni kugombea jimbo la Segerea ambalo mwaka 2015 aliachiwa Mtatiro ila Mrema kwa kumtumia mwandani wake wakagawa kura zaidi ya 45000. Mwaka huu wamegawana Mzee Segerea yule mwingine Karagwe huko!

Jimbo la Segerea kura za Maoni Tayari
Na matokeo ni kama Ifuatazo

Jumla ya Wapiga Kura 144

Agnes Lambert 76
John Mrema 56
Masatu Wasira 7
Gango Kidera 3
Andrew 1
Kura zilizoharibika 1

Wanawake Oyeeee!

Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini nae kapata kura 2 kati 128 huko Muhambwe!

Tunamsubiria Baba yake Mbowe kwenye Urais!
 
Wanawake wamechachama CHADEMA kinondoni Suzan LYIMO KAMKIMBIZA KIGOGO NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA ZANZIBAR SALUM MWALIMU kashinda ugombea jimbo la KINONDONI na kumfanya Salum mwalimu apande boti haraka ya azam kwenda kwao zanzibar kwa aibu

SEGEREA kigogo mwingine wa chadema MKURUGENZI mkuu wa mawasiliano,itifaki na mambo ya nchi za nje wa Chadema John MREMA kabwagwa na mwanamama Agnes Lambert

Hongereni akina mama kwa kuwavurumisha vigogo wa chadema kura za maoni
Mwendo huu ni mpaka kwenu nyie viazi wa CCM hapo October!

Halafu,guess what,karibia asilimia 70 ya wagombea wetu wote watakua wanawake!

Sasa pambaneni na nguvu ya akina mama muone!
 
Back
Top Bottom