Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

Special thanks Kwa Mungu mwenyezi,
Mama,
Mume wangu mpenzi
Ndugu jamaa na marafiki.

Wote mliokuwa na mimi katika hali zote,hakika akufaaye Kwa dhiki ndiye rafiki.

Heri ikawe kwenu Kwa mwaka ujao.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unawashukuru watu hawa...

1. MUNGu

Siku hizi Mungu kumbe ni mtu??

Dunia simama nishuke .... wallah nimechoka sana na hii dunia
 
Special thanks Kwa Mungu mwenyezi,
Mama,
Mume wangu mpenzi
Ndugu jamaa na marafiki.

Wote mliokuwa na mimi katika hali zote,hakika akufaaye Kwa dhiki ndiye rafiki.

Heri ikawe kwenu Kwa mwaka ujao.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hii post inenifadhaisha sana. Siku zote nilijua uko single. Yale mashairi niliyoyaandaa kwa ajili yako ngoja nikayachome moto..

Mimi naishukuru sana K Vant kwa mengi mazuri iliyonitendea mwaka huu. Imenipa ujasiri, imenipa usingizi, imenipunguzia uzinzi, Imeniongezea vocabularies za kimombo, imenipunguzia stress na imeniongezea nguvu za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…