Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

C
Daah ila sio kwa ubaya, huku n kujipa umuhimu uliopitiliza yaan NIDa na vyomb vingne vije hadharan kuomba msamah kisa ww umesema mtu ambae hata jina lako halisi hujaweka hapa JF, hauna influence, sura yako haijulikan, na hata kama unayo influence ila hapa hujajiweka wazi. Hatakama tunapigania haki huku ni kujipa umuhim kupitiliza na kujiwekea nyuzi za kufarijiana kama msiban
This is crap kutoka mlemavu wa kichwa.
 
Daah ila sio kwa ubaya, huku n kujipa umuhimu uliopitiliza yaan NIDa na vyomb vingne vije hadharan kuomba msamah kisa ww umesema mtu ambae hata jina lako halisi hujaweka hapa JF, hauna influence, sura yako haijulikan, na hata kama unayo influence ila hapa hujajiweka wazi. Hatakama tunapigania haki huku ni kujipa umuhim kupitiliza na kujiwekea nyuzi za kufarijiana kama msiban
Usijidharau na Jf yaweza kuw sauti ya waTz, wengi wasomi
 
Tuache kujazana bhn yaan ww na ID yako fake utoe amri ety ya kuwataka mara moja😅😅😅😅 na umalizia had kesho😄😄😄 yaan watu wapewe siku na Gwajima mweny influence yake ila wameshupaza shingo sembuse wewe ambae hata kuandika jina lako la uhalisia JF huez😃😃😃😁😁
 
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.

Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.

NIDA mmetukosea sana Watanzania.

INEC mmewakosea sana Watanzania .

TOKENI Hadharani kutuomba Radhi Watanzania.

Hakuna kubisha hapa, Aliyesema hayo ni MTU ,Mwanachama wa CCM, BALOZI, MTU aliwahi kufika Ngazi ya Juuu kabisa ya Chama Cha CCM, MTU wa Chamani, Hapa hamna Cha kusema aje athibitishe Wala nn, MTUOMBE MSAMAHA NA MUWAJIBIKE MARA MOJA KWA KUJIUDHULU !!.

Mmelihujumu Taifa letu
Tukiwa tunamung'unya mung'unya hili la slow slow, tunasubili bomu la nyuklia kutoka kwa jasusi la mbinguni
 
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.

Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.

NIDA mmetukosea sana Watanzania.

INEC mmewakosea sana Watanzania .

TOKENI Hadharani kutuomba Radhi Watanzania.

Hakuna kubisha hapa, Aliyesema hayo ni MTU ,Mwanachama wa CCM, BALOZI, MTU aliwahi kufika Ngazi ya Juuu kabisa ya Chama Cha CCM, MTU wa Chamani, Hapa hamna Cha kusema aje athibitishe Wala nn, MTUOMBE MSAMAHA NA MUWAJIBIKE MARA MOJA KWA KUJIUDHULU !!.

Mmelihujumu Taifa letu
Shetani hajawahi kuomba radhi
 
Tuache kujazana bhn yaan ww na ID yako fake utoe amri ety ya kuwataka mara moja😅😅😅😅 na umalizia had kesho😄😄😄 yaan watu wapewe siku na Gwajima mweny influence yake ila wameshupaza shingo sembuse wewe ambae hata kuandika jina lako la uhalisia JF huez😃😃😃😁😁
wananchi ndio walioajiri serikali, humu kuna wananchi, Serikali haiwezi kupambana na mwajiri wake. Inaogopa sana idadi au wingi.
Kwa jambo lao, ndio mana utasikia msiandamane/msikusanyike sehemu. Humu tupo kwa mkusanyikp wetu, tunaweza ijambisha tukikubariana.
Kujikinga watakimbilia kuifunga tusikusanyike. Umeelewa!
 
CCM hawawezi kushinda uchaguzi kirahisi hivyo, hawa jamaa ni wezi na wanafanya hivyo makusudi kwa sababu wanajuwa wananchi washawachoka na hawana jipya hapa nchini.
 
Inawezekana Tulikua tunahisia tu lakini Sasa Mambo yako Wazi, Mambo yako Wazi.

Polepole Leo amekiri na Hivo MADAI YA LISSU DHIDI YA WIZI WA KURA kupitia Servers za Tume ni ya KWELI NA YANA MASHIKO NA CHADEMA WAKO SAHIHI 100% KUZUIA UCHAGUZI BILA MABADILIKO.

NIDA mmetukosea sana Watanzania.

INEC mmewakosea sana Watanzania .

TOKENI Hadharani kutuomba Radhi Watanzania.

Hakuna kubisha hapa, Aliyesema hayo ni MTU ,Mwanachama wa CCM, BALOZI, MTU aliwahi kufika Ngazi ya Juuu kabisa ya Chama Cha CCM, MTU wa Chamani, Hapa hamna Cha kusema aje athibitishe Wala nn, MTUOMBE MSAMAHA NA MUWAJIBIKE MARA MOJA KWA KUJIUDHULU !!.

Mmelihujumu Taifa letu
Ngumu Sana mwizi kukiri wizi
 
Back
Top Bottom