Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

C
This is crap kutoka mlemavu wa kichwa.
 
Usijidharau na Jf yaweza kuw sauti ya waTz, wengi wasomi
 
Usijidharau na Jf yaweza kuw sauti ya waTz, wengi wasomi
Tuache kujazana bhn yaan ww na ID yako fake utoe amri ety ya kuwataka mara mojaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na umalizia had keshoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ yaan watu wapewe siku na Gwajima mweny influence yake ila wameshupaza shingo sembuse wewe ambae hata kuandika jina lako la uhalisia JF huezπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜πŸ˜
 
Tukiwa tunamung'unya mung'unya hili la slow slow, tunasubili bomu la nyuklia kutoka kwa jasusi la mbinguni
 
Shetani hajawahi kuomba radhi
 
wananchi ndio walioajiri serikali, humu kuna wananchi, Serikali haiwezi kupambana na mwajiri wake. Inaogopa sana idadi au wingi.
Kwa jambo lao, ndio mana utasikia msiandamane/msikusanyike sehemu. Humu tupo kwa mkusanyikp wetu, tunaweza ijambisha tukikubariana.
Kujikinga watakimbilia kuifunga tusikusanyike. Umeelewa!
 
CCM hawawezi kushinda uchaguzi kirahisi hivyo, hawa jamaa ni wezi na wanafanya hivyo makusudi kwa sababu wanajuwa wananchi washawachoka na hawana jipya hapa nchini.
 
Ngumu Sana mwizi kukiri wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…