Ninawatakia kila la heri jeshi la polisi kwa kazi wanayoenda kuifanya kesho

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa wahalifu wachache watakaojitokeza kesho kufanya maandamano haramu. Sio mbaya kuvunja miguu ya wahalifu 100 ili kulinda amani ya watanzania zaidi ya milioni 65.

Kwanza wafuasi wa Lissu wamekuwa wakilituhumu jeshi la polisi kutumia fedha za umma kununua virungu feki vilivyo chini ya ubora. Siku ya kesho endapo kuna wahuni watajitokeza itasaidia kujua kama virungu ni feki au la.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma awatangulie polisi wote kwenye majukumu yao mat
 
Waambie wafiche familia zao pia, maana safari hii hata wao watazika ikiwa watatumia silaha za moto kwa maandamano ya amani.
 
WANAO INGIA BARABARANI KWA KILE WANACHOKIITA MANDAMANO YA AMANI WENGI WAO NI VIBAKA PIA KUNA WAZEE WALIKENGEUKA WANAOPANDIKIZA CHUKI KWA VIJANA NI VYEMA WAMULIKWE
 
Linda uhai wako na kiwiliwili chako

epuka maandamano haramu
Mkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?
 
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa wahalifu wachache watakaojitokeza kesho kufanya maandamano haramu. Sio mbaya kuvunja miguu ya wahalifu 100 ili kulinda amani ya watanzania zaidi ya milioni 65.

Kwanza wafuasi wa Lissu wamekuwa wakilituhumu jeshi la polisi kutumia fedha za umma kununua virungu feki vilivyo chini ya ubora. Siku ya kesho endapo kuna wahuni watajitokeza itasaidia kujua kama virungu ni feki au la.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma awatangulie polisi wote kwenye majukumu yao mat

Naona Polisi walifuatwa huko huko mtaani wanapoishi na raia, wakimkosa Polisi mwenyewe basi yule mtoto wake anayesoma st. Kayumba wajuba watapita nae...!
 
WANAO INGIA BARABARANI KWA KILE WANACHOKIITA MANDAMANO YA AMANI WENGI WAO NI VIBAKA PIA KUNA WAZEE WALIKENGEUKA WANAOPANDIKIZA CHUKI KWA VIJANA NI VYEMA WAMULIKWE
Bora vibaka kuliko wauwaji na watekaji
 
Uliponikera ni hapo unapoziombea nyumbu zivunjwe miguu , nyumbu wezi na waharibifu wa mali za watu wanatakiwa wauwawe kwa kupigwa risasi za kichwa , wakivunjwa miguu wataenda kutumalizia dawa hospital wakati hawana faida yoyote.
 
Mkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?
Haya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja

Stahili ya maandamano ni yale yale ambayo yamefeli awali,maafa ya awali huenda yakatokea tena ingawa sio kwa kiasi kile,bado tunazidisha tatizo

Trust me ambao wakibahatika kuwa hai watawekwa kizuizini mpaka Who are you amalize term yake 2030

Dunia imesikia,inafuatilia,hatua zitachukuliwa,kikubwa subira subira subira

Ndoto za kuangusha serikali ya Mama Samia ni ukichaa
 
Haya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja

Stahili ya maandamano ni yale yale ambayo yamefeli awali,maafa ya awali huenda yakatokea tena ingawa sio kwa kiasi kile,bado tunazidisha tatizo

Trust me ambao wakibahatika kuwa hai watawekwa kizuizini mpaka Who are you amalize term yake 2030

Dunia imesikia,inafuatilia,hatua zitachukuliwa,kikubwa subira subira subira

Ndoto za kuangusha serikali ya Mama Samia ni ukichaa
Mkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?
 
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa wahalifu wachache watakaojitokeza kesho kufanya maandamano haramu. Sio mbaya kuvunja miguu ya wahalifu 100 ili kulinda amani ya watanzania zaidi ya milioni 65.

Kwanza wafuasi wa Lissu wamekuwa wakilituhumu jeshi la polisi kutumia fedha za umma kununua virungu feki vilivyo chini ya ubora. Siku ya kesho endapo kuna wahuni watajitokeza itasaidia kujua kama virungu ni feki au la.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma awatangulie polisi wote kwenye majukumu yao mat

Hehehe Kesho ndio mwisho wa kutumia askari wetu kwenye upumbavu wenyu. Mtajua wapo askari wazalendo. Ombeni washindwe
 
Mkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?
Wewe keyboard warrior acha maswali ya kikuda wakati kwenye maandamano hutakuwepo.
 
Haya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja

Stahili ya maandamano ni yale yale ambayo yamefeli awali,maafa ya awali huenda yakatokea tena ingawa sio kwa kiasi kile,bado tunazidisha tatizo

Trust me ambao wakibahatika kuwa hai watawekwa kizuizini mpaka Who are you amalize term yake 2030

Dunia imesikia,inafuatilia,hatua zitachukuliwa,kikubwa subira subira subira

Ndoto za kuangusha serikali ya Mama Samia ni ukichaa
Ninakujibu kwa mara ya mwisho. Ni hivi Samia anatoka madarakani. To be more specific maandamano haya yanaenda kumwondoa madarakani. Usipoamini shauri yako. Kama wewe ni mnufaika wa huu utawala na unataka kutoroka nchi fanya sasa hivi kabla ya saa moja asubuhi kesho
 
Haya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja

Stahili ya maandamano ni yale yale ambayo yamefeli awali,maafa ya awali huenda yakatokea tena ingawa sio kwa kiasi kile,bado tunazidisha tatizo

Trust me ambao wakibahatika kuwa hai watawekwa kizuizini mpaka Who are you amalize term yake 2030

Dunia imesikia,inafuatilia,hatua zitachukuliwa,kikubwa subira subira subira

Ndoto za kuangusha serikali ya Mama Samia ni ukichaa
Kaka kwema
 
Back
Top Bottom