MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Waambie wafiche familia zao pia, maana safari hii hata wao watazika ikiwa watatumia silaha za moto kwa maandamano ya amani.Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa wahalifu wachache watakaojitokeza kesho kufanya maandamano haramu. Sio mbaya kuvunja miguu ya wahalifu 100 ili kulinda amani ya watanzania zaidi ya milioni 65.
Kwanza wafuasi wa Lissu wamekuwa wakilituhumu jeshi la polisi kutumia fedha za umma kununua virungu feki vilivyo chini ya ubora. Siku ya kesho endapo kuna wahuni watajitokeza itasaidia kujua kama virungu ni feki au la.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma awatangulie polisi wote kwenye majukumu yao mat
Mkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?Linda uhai wako na kiwiliwili chako
epuka maandamano haramu
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa wahalifu wachache watakaojitokeza kesho kufanya maandamano haramu. Sio mbaya kuvunja miguu ya wahalifu 100 ili kulinda amani ya watanzania zaidi ya milioni 65.
Kwanza wafuasi wa Lissu wamekuwa wakilituhumu jeshi la polisi kutumia fedha za umma kununua virungu feki vilivyo chini ya ubora. Siku ya kesho endapo kuna wahuni watajitokeza itasaidia kujua kama virungu ni feki au la.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma awatangulie polisi wote kwenye majukumu yao mat
Bora vibaka kuliko wauwaji na watekajiWANAO INGIA BARABARANI KWA KILE WANACHOKIITA MANDAMANO YA AMANI WENGI WAO NI VIBAKA PIA KUNA WAZEE WALIKENGEUKA WANAOPANDIKIZA CHUKI KWA VIJANA NI VYEMA WAMULIKWE
Haya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo mojaMkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?
Mkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?Haya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja
Stahili ya maandamano ni yale yale ambayo yamefeli awali,maafa ya awali huenda yakatokea tena ingawa sio kwa kiasi kile,bado tunazidisha tatizo
Trust me ambao wakibahatika kuwa hai watawekwa kizuizini mpaka Who are you amalize term yake 2030
Dunia imesikia,inafuatilia,hatua zitachukuliwa,kikubwa subira subira subira
Ndoto za kuangusha serikali ya Mama Samia ni ukichaa
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa wahalifu wachache watakaojitokeza kesho kufanya maandamano haramu. Sio mbaya kuvunja miguu ya wahalifu 100 ili kulinda amani ya watanzania zaidi ya milioni 65.
Kwanza wafuasi wa Lissu wamekuwa wakilituhumu jeshi la polisi kutumia fedha za umma kununua virungu feki vilivyo chini ya ubora. Siku ya kesho endapo kuna wahuni watajitokeza itasaidia kujua kama virungu ni feki au la.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma awatangulie polisi wote kwenye majukumu yao mat
Wewe keyboard warrior acha maswali ya kikuda wakati kwenye maandamano hutakuwepo.Mkuu kama watu wanatekwa na kuuwawa na tunapiga sana kelele hatusaidiwi wakati tuna serikali yenye wajibu kulinda, sasa tufanye nini hapo hebu nipe mawazo yako tofauti na maandamano ?
Keyboard warriorWaambie wafiche familia zao pia, maana safari hii hata wao watazika ikiwa watatumia silaha za moto kwa maandamano ya amani.
🌈Keyboard warrior
Ninakujibu kwa mara ya mwisho. Ni hivi Samia anatoka madarakani. To be more specific maandamano haya yanaenda kumwondoa madarakani. Usipoamini shauri yako. Kama wewe ni mnufaika wa huu utawala na unataka kutoroka nchi fanya sasa hivi kabla ya saa moja asubuhi keshoHaya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja
Stahili ya maandamano ni yale yale ambayo yamefeli awali,maafa ya awali huenda yakatokea tena ingawa sio kwa kiasi kile,bado tunazidisha tatizo
Trust me ambao wakibahatika kuwa hai watawekwa kizuizini mpaka Who are you amalize term yake 2030
Dunia imesikia,inafuatilia,hatua zitachukuliwa,kikubwa subira subira subira
Ndoto za kuangusha serikali ya Mama Samia ni ukichaa
Kaka kwemaHaya maandamano hayana tija kabisa, mtu mwerevu haumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja