BARAKA N RANGE
Member
- Sep 1, 2024
- 37
- 88
Pambana ndugu yangu, nuru njema huoneka asubuhi, au mapema, utafika mbali.
Asante kaka,pia naomb ushirikiano wakoPambana ndugu yangu, nuru njema huoneka asubuhi, au mapema, utafika mbali.
Karibu sana,nahitaji ushirikiano wako kwa hali na mali🙏🏽Superb!
Ntarudi tena kwenye huu uzi
shukran kaka ,naomba ushirikiano wako pia nitekeleze jambo languSoma sana
Shida unafkiria mwisho wa mkono wako, mtu mzima unashindwa vision na huyu dogo tena wa form 5 ni aibu.Sikukatishi tamaa ila acha ujinga hapa sio ulaya, Kula pindi sana japo saivi nahisi kama hua hakuna mitihani hivi.
Sasa wewe upo form 5, unataka kuacha shule?Hello,
Mimi ni mwanafunzi wa Shule ya sekondari Tambaza kidato cha tano katika mchepuo wa PMCs. Naitwa Baraka Range.
Napenda kuwashirikisha wadau wote wa tasnia ya teknolojia katika wazo langu la kuanzisha kitu kinaitwa Tantech Association ambayo itawasaidia vijana kuweza kuunganisha na wadau mbalimbali ambao ni wazoefu katika idara ya teknolojia.
Pia vijana wabunifu watapata nafasi za kuonyesha vumbuzi zao mbalimbali kwa wadau wao ili kuweza kupata misaada mbalimbali. Naombeni ushirikiano wenu ili kuweza kufanikisha jambo hili.
It's no about kulipwa ,hapa ni computer expert wa tanzania kuweza kujitoa na kuwasaidia vijana mbalimbali nchini kwao.Alaf hao watu utakuwa unawalipa au?
it's not about kuacha shule it's about on how youth one can be helped from downward to upward through getting experience from different computer experts from Tanzania.Sasa wewe upo form 5, unataka kuacha shule?
asante sana bro kunipa hope ya kuzidi kufikiria mbele,,twende tuipeleke Tanzania yetu mbele..Shida unafkiria mwisho wa mkono wako, mtu mzima unashindwa vision na huyu dogo tena wa form 5 ni aibu.
Mdogo angu wacha kusikiliza watu kama hawa. Huyu jamaa hana tofauti na doto magari
Hahaaa ngoja nikuache sidhani kama ulienda shule, walo enda shule wana mwambia asome.Shida unafkiria mwisho wa mkono wako, mtu mzima unashindwa vision na huyu dogo tena wa form 5 ni aibu.
Mdogo angu wacha kusikiliza watu kama hawa. Huyu jamaa hana tofauti na doto magari
Haujanielewa..... Wewe una nini ? Kina Bill Gates na Rafiki yake hawakuja na kuwatangazia watu wana idea gani au wadau walioanzisha VLC Player (wanachuo kama experiment zao hawakuja kutangazia watu tunataka kufanya kitu gani from thin air); Walijikusanya wao kama marafiki wakafanya jambo wakiwa hapo Chuo na mwisho wa siku wakatangazia umati...vyote wazo,prototype pia working modal ambayo itasaidia vijana kuongeza ujuzi katika juu ya maswala ya kiteknolojiaa