V Chief
Member
- Aug 20, 2023
- 78
- 145
Hiyo assossiation itakuwa inahusisha watu wa fields zipi?thanks alot kwa kunipa hope ni moja ya force mnayonipa nizidi deeply thinking on how my idea can develop,thanks again.
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo assossiation itakuwa inahusisha watu wa fields zipi?thanks alot kwa kunipa hope ni moja ya force mnayonipa nizidi deeply thinking on how my idea can develop,thanks again.
.
Kuna club. ayari za tehama mashuleni shule za msingi na Chekechea na sekondari wewe mwanachama? tuanzie hapoHello,
Mimi ni mwanafunzi wa Shule ya sekondari Tambaza kidato cha tano katika mchepuo wa PMCs. Naitwa Baraka Range.
Napenda kuwashirikisha wadau wote wa tasnia ya teknolojia katika wazo langu la kuanzisha kitu kinaitwa Tantech Association ambayo itawasaidia vijana kuweza kuunganisha na wadau mbalimbali ambao ni wazoefu katika idara ya teknolojia.
Pia vijana wabunifu watapata nafasi za kuonyesha vumbuzi zao mbalimbali kwa wadau wao ili kuweza kupata misaada mbalimbali. Naombeni ushirikiano wenu ili kuweza kufanikisha jambo hili.
Zingekuwepo na zingekuwa na ufanisi nisingewaza hivi ndugu!Kuna club. ayari za tehama mashuleni shule za msingi na Chekechea na sekondari wewe mwanachama? tuanzie hapo
Hii mambo ya sijui "nakosa sapoti" kwa wanadamu as if kuna kitu hua unawadai ni pile of nonsenseMaono ni mengi ,ndugu yangu sema vijana tunakosa sapoti kutoka kwa expert mbalimbali..
Ndo maana nimeleta swala hii mbele yenu wadau
Ushirikiano gani unauomba?Hello,
Mimi ni mwanafunzi wa Shule ya sekondari Tambaza kidato cha tano katika mchepuo wa PMCs. Naitwa Baraka Range.
Napenda kuwashirikisha wadau wote wa tasnia ya teknolojia katika wazo langu la kuanzisha kitu kinaitwa Tantech Association ambayo itawasaidia vijana kuweza kuunganisha na wadau mbalimbali ambao ni wazoefu katika idara ya teknolojia.
Pia vijana wabunifu watapata nafasi za kuonyesha vumbuzi zao mbalimbali kwa wadau wao ili kuweza kupata misaada mbalimbali. Naombeni ushirikiano wenu ili kuweza kufanikisha jambo hili.
Wazo zuri usiliache haijalishi miaka mingapi itakuchukua kulitekeleza komaa hadi lisimame, hii ni ajira yako thabiti ukilipambaniaHello,
Mimi ni mwanafunzi wa Shule ya sekondari Tambaza kidato cha tano katika mchepuo wa PMCs. Naitwa Baraka Range.
Napenda kuwashirikisha wadau wote wa tasnia ya teknolojia katika wazo langu la kuanzisha kitu kinaitwa Tantech Association ambayo itawasaidia vijana kuweza kuunganisha na wadau mbalimbali ambao ni wazoefu katika idara ya teknolojia.
Pia vijana wabunifu watapata nafasi za kuonyesha vumbuzi zao mbalimbali kwa wadau wao ili kuweza kupata misaada mbalimbali. Naombeni ushirikiano wenu ili kuweza kufanikisha jambo hili.
Shukrani ndugu nitapamban maana naamini itasaidia vijana wengiWazo zuri usiliache haijalishi miaka mingapi itakuchukua kulitekeleza komaa hadi lisimame, hii ni ajira yako thabiti ukilipambania
Kwa usalama wa fikra zako nashauri usifungue huo uzi, ahsante.Nitafanyia kazi hio kaka!
A version of stack overflow au quora ?Nope yaani ataka kuanzisha platform ya kukutanisha watu kwenye tasnia ya Tech..., kwahio kutakuwa na wataalamu watafuta ujuzi na watu wanaobadilishana mawazo..., Yaani tuseme kama ilivyo kwenye whatsapp groups, telegram groups au hili jukwaa la gadgets..., lakini huenda platform yake ikawa more specialized na ina vitu vingi zaidi kwahio labda hata wewe ukiwa na swali kuhusu simu yako au umegundua mashine ya kutumia mende kulima shamba unaweza kuingia huko...
In short its a community na ukiwa na community ni rahisi hata kuwasaidia wenye kupata funds awe wenye ideas ni rahisi kuweza kuonekana au kuwauzia wahitaji wa idea......
it's not a new concept lakini implementation na wahusika ndio itakuwa a make or break..., ndio maana nikamshauri aanze na wadau wake hapo shuleni asogee mashule mengine aingie hata vyuoni aingie kitaa kwa mafundi simu, computer n.k. (technicians) alafu watu watakaokuwa wanaingia kuchukua contents / knowledge (users) itakuwa ni hatua ya mwisho (sababu ukiwaita watu wengi waje kuangalia a half baked idea wakikuta ndivyo sivyo hawatarudi tena)
Nadhani stack overflow au quora ni more of a platform ya watu kupitia na kutupia swali au kutafuta jibu sio community ya watu kukaa na kubadilishana mawazo nadhani anachosema jamaa ni more of a specialized platform... kwahio lazima kuwe na tools za kutosha watu kushare information, picha na hata videos huenda lazima kuwe na membership plugin uwezekano labda wa watu kutumiana private messages n.k. kwahio huenda a membership forum ikawa more of a fit kuliko a question and answer platform...A version of stack overflow au quora ?