Ninawaza kuanzisha kitu kinachoitwa Tantech Association, naomba ushirikiano wenu

Kuna club. ayari za tehama mashuleni shule za msingi na Chekechea na sekondari wewe mwanachama? tuanzie hapo
 
Kuna club. ayari za tehama mashuleni shule za msingi na Chekechea na sekondari wewe mwanachama? tuanzie hapo
Zingekuwepo na zingekuwa na ufanisi nisingewaza hivi ndugu!

Issue iliyopo now it is not kuwa club za tehama zipo usione mpaka nafikiri hivi zijafanya research hapana nimefanya research ndo maana nikaona kuna kitu kinamiss kwa club hizo za tehama...
 
Maono ni mengi ,ndugu yangu sema vijana tunakosa sapoti kutoka kwa expert mbalimbali..

Ndo maana nimeleta swala hii mbele yenu wadau
Hii mambo ya sijui "nakosa sapoti" kwa wanadamu as if kuna kitu hua unawadai ni pile of nonsense

Hakuna mwanadamu yupo responsible for what u think or do as it is none of their business

Wewe njoo na very strong idea and be good in selling it basi.

Au huenda idea yako ni so bad in such a way wewe binafsi ndio hujui kwamba ni very dumb idea

Wasipoelewa tatizo ni lako ku convince wakuelewe na wala sio wao

Kila kitu kinachokuhusu beba wewe mwenyewe,wanadamu wakikuelewa au wasipokuelewa ni juu yako wewe binafsi na sio wao

Stop crying as if unawadai wanadamu chochote kuhusu vitu vilivyo kichwani kwako mwenyewe

By the way,ukishaanza kuona mtu anaanza malalamiko eti "hapewi sapoti" ujue huyo mtu ni weak minded na ni terrible in rational thinking
 
Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Unataka kuwasaidia vijana wa Kitanzania?
Pita humo kwanza mdogo wangu, kuna ideas nyingi sana zimetolewa na wadau humo ndani, hizo ideas zinaweza kukusaidia kujua vijana wa Kitanzania ni watu wa namna gani na wanahitaji nini.
 
Ushirikiano gani unauomba?
 
Wazo zuri usiliache haijalishi miaka mingapi itakuchukua kulitekeleza komaa hadi lisimame, hii ni ajira yako thabiti ukilipambania
 
Wazo zuri usiliache haijalishi miaka mingapi itakuchukua kulitekeleza komaa hadi lisimame, hii ni ajira yako thabiti ukilipambania
Shukrani ndugu nitapamban maana naamini itasaidia vijana wengi
 
A version of stack overflow au quora ?
 
A version of stack overflow au quora ?
Nadhani stack overflow au quora ni more of a platform ya watu kupitia na kutupia swali au kutafuta jibu sio community ya watu kukaa na kubadilishana mawazo nadhani anachosema jamaa ni more of a specialized platform... kwahio lazima kuwe na tools za kutosha watu kushare information, picha na hata videos huenda lazima kuwe na membership plugin uwezekano labda wa watu kutumiana private messages n.k. kwahio huenda a membership forum ikawa more of a fit kuliko a question and answer platform...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…