Hahaha!!..sawa sawa mkuuMimi huwa sikopeshi walalahoi bali nasaidia tu
Njoo uchukue kiasi chochote cha pesa bure ila kisizidi Bilioni 1 mkuu
Ina maana bro wewe kabla ya kujiunga jf ulikuwa una uwezo mdogo wa kufikiri ?Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Kadhalika mimi mtazamo wangu kuhusu watu tuliomo humu jf ni kinyume na unachofikiria wewe. Hii nimeweka msisitizo juya yale niliyo yasema hivi punde.Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Sio kwa amani tu,yaani ni vichwa balaa.Kuna watu wanaishi bila smartphone na wanaishi kwa amani kabisa
[emoji3][emoji3]upo jf kumbeJF ya sasa ina habari za ngono sana
Kwa ajili yako sweetbabu,.. Nitafanya😄Umenikosea. Sitaki uniunganishie... nataka ujiunganishe
Unanichomesha mahindi PM ujue...Kwa ajili yako sweetbabu,.. Nitafanya😄
Umefunga mlango babuu,.Unanichomesha mahindi PM ujue...
Dah...Umefunga mlango babuu,.
Ni ujinga tukwakweli haina ladha! kuna mwingne jana kaanzisha uzi kaweka nukta tu! imagne! nahs hadi leo huo uzi unaishi!
Dyadya kumbe ni ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muuah[emoji8][emoji8][emoji8]babu 'etuu kipenchii
😂😂😂😂woooiii ndio Mimi mwenyewe mama la mama VVIP😂Dyadya kumbe ni ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmh siku ile nilikua nakuhis hisi tu leo nme conferm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiii ndio Mimi mwenyewe mama la mama VVIP[emoji23]