Ninawaza tu lakini, hivi watu ambao hawaifahamu JamiiForums wanaishije?

Ninawaza tu lakini, hivi watu ambao hawaifahamu JamiiForums wanaishije?

Wanaishi kama wewe ulivyo kuwa unaishi kabla hujajiunga jamii forums
 
Mungu wabariki wachina kwa kutuletea smartphone za bei ndogo tunapata burudani kwakweli japo bado zinapanda kila kukicha
 
Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Ina maana bro wewe kabla ya kujiunga jf ulikuwa una uwezo mdogo wa kufikiri ?

Acha wasi wasi mzee,kaka kuna watu wako kitaa wanajua vitu asikwambie mtu na hawajui jf wala nini.

Kwahiyo usiwakosee watu adabu.

Nilitaka kuendelea lakini nachelea kuchafua hali ya hewa.
 
Naomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Kadhalika mimi mtazamo wangu kuhusu watu tuliomo humu jf ni kinyume na unachofikiria wewe. Hii nimeweka msisitizo juya yale niliyo yasema hivi punde.
 
Msipaniki wadau, kumbukeni huku ni chitchat... Nawakumbusha tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woooiii ndio Mimi mwenyewe mama la mama VVIP[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmh siku ile nilikua nakuhis hisi tu leo nme conferm
Ndo nn sasa kubadilika ata bila kutoa taarifa..leo nilikua nkuulize mbona sikuon jf
 
Back
Top Bottom