Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Basi nilijua dyadya wangu wa ubani itakuwa ushaninyaka,.heee nikashangaa unavyonipa za uso full dry,.nikasema ntakutembelea wasup ww ngojea tyuu...nimeamua kuwa mrefu jamaniii nilizidi kuwa mfupi khaaππππjina lina herufi 4 tuu woiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmh siku ile nilikua nakuhis hisi tu leo nme conferm
Ndo nn sasa kubadilika ata bila kutoa taarifa..leo nilikua nkuulize mbona sikuon jf
[emoji23][emoji23][emoji23]me ndo nilikua siangaliii nakupa za uso tu na kizee chako[emoji23][emoji23]Basi nilijua dyadya wangu wa ubani itakuwa ushaninyaka,.heee nikashangaa unavyonipa za uso full dry,.nikasema ntakutembelea wasup ww ngojea tyuu...nimeamua kuwa mrefu jamaniii nilizidi kuwa mfupi khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jina lina herufi 4 tuu woiiii
Babu @Aspirin yuko vizurii,.babu etu mpenchiii hahaha lazima angeninyaka tuu sio kwa kunilov kule wakati ana staafu,.ππ[emoji23][emoji23][emoji23]me ndo nilikua siangaliii nakupa za uso tu na kizee chako[emoji23][emoji23]
Yan babu alikunyaka mapema kushinda ata mm khaa[emoji854]
Wanaishi poa tu. Maana habari za huku nakuta watu wameshare kwenye magroup ya whatsap ambako ndo kuna idadi kubwa ya watuNaomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Watu wapo forums za Kimataifa kama debatepolits, wako science forums na mengine, nimegundua nazo ni nzuriMkuu hii ya sasa haina mvuto. Kuna ile JF ya 2012-15. Hii ndiyo ilikua yenyewe. Nilikua sina raha kabisa nisipoingia japo nilikua na view kama guest.
Hivi twitter na jf ipi ni safe zaidi ?ungeuliza kabla hazijakuwepo twita,instagram,wasapu.
maana kuna mambo watu wanajadili twita na wanamtag hadi jpm ambayo humu ni marufuku hata ban unakula uzi unafutwa.
uteja wetu na jf usitufanye kusahau kuna mengi nje ya box.
Me ningekunyaka ungetuma hili neno "wooiiii"[emoji38][emoji38][emoji38]Babu @Aspirin yuko vizurii,.babu etu mpenchiii hahaha lazima angeninyaka tuu sio kwa kunilov kule wakati ana staafu,.[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee..wenye tecno tuna tabu sanaMimi nawaza watu ambao hawana Iphone. Wanapata wapi ujasiri wa kutumia mitandao ya kijamii.
ππππ"woooiii"Mr ningekunyaka ungetuma hili neno "wooiiii"[emoji38][emoji38][emoji38]
hapo sioni safe mkuu. kikinuka utapatikana tu,Hivi twitter na jf ipi ni safe zaidi ?
Aiseeeme pia nawaza, ambao hawaijui xvideos wanaishije ?
Wanavijua vijiwe vya kahawaNaomba kuwasilisha Tafadharii......
Maana nadhani hata uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo mbalimbali utakuwa upo chini saana..
Teh teh teh[emoji23]me pia nawaza, ambao hawaijui xvideos wanaishije ?
Sasa JF hiyo ilikua very rigid... Hii ya sasa ni flexible... Zama zinabadilika, hatuwezi kuishi lifestyle moja tu hapa jf kwa muongo mzimaMkuu hii ya sasa haina mvuto. Kuna ile JF ya 2012-15. Hii ndiyo ilikua yenyewe. Nilikua sina raha kabisa nisipoingia japo nilikua na view kama guest.