Huyu mleta maada angesapotiwa basi wana jamii form wote , ningejua mna upungufu wa kifikiri. Halafu tusisahau kuna mitandao mingine mingi tu,watu wapo huko. Kuna Ile jamii forum ya 2012 kipindi hicho nilikuwa nasoma huku ndani alaf nakuwa msemaji mkuu wa mambo ya siasa home!!!!! Lakin now days jukwaa limepoteza "credibility" Kwa wale wanaojua credibility huletwa Na expertise, charismatic Na authority .........sasa unamshangaa vitu mtu asiyesoma kuhusu mada za mapenzi za hivyo hovyo tu hapa, ubishani wa kivyama ambao msomaji unajua kabisa hawa ni wanywa maji ya bendera? Juzi nimemuliza my cousin Kama anatembelea jamii forum , kasema bi No Kwa sababu ya comment............hiyo miaka jamiiforum ulikuww unawez tumika "reference" to pursued somebody lakin sio Leo..............hata waandishi wengi humu wamepotea"nguruvi" simuoni humu !!!!!!!!!!!! ...wapi Janson mbwambo ... Mzee mwanakijiji bado yupo?