Ninaweza kwenda Nairobi bila passport?

Ninaweza kwenda Nairobi bila passport?

Mkuu kumbe kwa sasa hiyo Emergency Travelling Document inatumika mwaka mzima sio kama ilivyokuwa zamani kuwa ukienda ukirudi unaikabidhi
Miezi miwili iliopita waziri alikuwa boda madereva wamelalamikia sana hiyo pass ya single use akasema ata lifanyia kazi na hivi majuzi mwezi ulio pita kuna mtu kaenda chukuwa kapewa ya mwaka hawaku tick pale single use
 
Yellow fever lazima kuwa nayo wata goma kukugongea passport. Uzuri ukisha ipata ina kaa mda mrefu na ina hitajika nchi mbalimbali so itakusaidia kwenye safari zingine, passport ni mara moja ila naskia wamesha badili mfumo ina kwenda mwaka sasa so wakati una pewa utapata maelezo
Yellow fever cert kwa hii block ni lazima? Sikuwahi kujua hilo, wamegonga gonga kipande changu cha kusafiria mara kadhaa pale bila kudai ziada!

Hata hivyo ninayo, niliwahi itumia mara mara moja tu ambapo sio kwamba waliiomba, niliiitoa tu kwa kimbele mbele itakuwa
 
Kama una yellow fever card safi sana kuna Bwana mmoja ana kuwa pale mlangoni akishaona una hizo temporary tu lazima akulize, so iweke karibu.
 
Yellow fever si zinaptikana pale mnazi mmoja?
Mmmmh kwa Dar sina uwakika wapi utapata ila kwa border unapata pale mpakani upande wa Tanzania kidirisha cha kwanza baada ya kuingia mlangoni, ila hii itakuwa rahisi kama haupo na basi.
 
Mmmmh kwa Dar sina uwakika wapi utapata ila kwa border unapata pale mpakani upande wa Tanzania kidirisha cha kwanza baada ya kuingia mlangoni, ila hii itakuwa rahisi kama haupo na basi.
Bei Gani mkuu? Pia natoa shukrani Tena sana Kwa maelezo Yako.
 
Back
Top Bottom