Ninaweza kwenda Nairobi bila passport?

Bei Gani mkuu? Pia natoa shukrani Tena sana Kwa maelezo Yako.
Bei ni 35k kama ulipoteza au unataka mpya hapa uta chomwa sindano ya kujikinga pia. KAma una toka nje ya East Africa ni gali zaidi ina kwenda mpka usd50
 
Bila pasi huko wanaenda ni wale wanaoishi mipakani....
Sasa we utoke dar sjui mwanza dodoma utake kwenda huko bila pass
Si kujitafutia matatizo

Ova
 
Huwezi mkuu....kwa utaratibu wa Uhamiaji huwezi.
On Jan 2023, I will be crossing the border to Nby- passport free, tyring to see if Kenyans are my good friends. If they arrest me, its them who will be in a big trouble with the law... 😎

Bila pasi huko wanaenda ni wale wanaoishi mipakani....
Sasa we utoke dar sjui mwanza dodoma utake kwenda huko bila pass
Si kujitafutia matatizo

Ova
 
On Jan 2023, I will be crossing the border to Nby- passport free, tyring to see if Kenyans are my good friends. If they arrest me, its them who will be in a big trouble with the law... [emoji41]
Mimi nishavuka kwenda kenya kutokea rombo ila nlikuwa na wenyeji
Ukienda kichwa kichwa watakukamata

Ova
 
Watanzania bwana sijui tumelogwa! Kama mtu umepanga safari ya Kenya kwa nini usibadishe fedha zako mapema kabla na usubiri mpaka ufike mpakani ubadilishe kwa haraka haraka? Ndiyo maana watu wanapigwa!
 
Sisi huku mkinga tuna boda ya horohoro tunavuka tu hakuna lolote
 
Mimi nishavuka kwenda kenya kutokea rombo ila nlikuwa na wenyeji
Ukienda kichwa kichwa watakukamata

Ova
Rombo kwenda Kenya bila karatasi yoyote ni rahisi mno kama unazijua njia. Ila wakenya siwaamini sana hivyo ni bora mtu uwe na karatasi halali kwa usalama wako.
 
On Jan 2023, I will be crossing the border to Nby- passport free, tyring to see if Kenyans are my good friends. If they arrest me, its them who will be in a big trouble with the law... 😎
Aisee..
 
Watanzania bwana sijui tumelogwa! Kama mtu umepanga safari ya Kenya kwa nini usibadishe fedha zako mapema kabla na usubiri mpaka ufike mpakani ubadilishe kwa haraka haraka? Ndiyo maana watu wanapigwa!
🤣🤣
 
Rombo kwenda Kenya bila karatasi yoyote ni rahisi mno kama unazijua njia. Ila wakenya siwaamini sana hivyo ni bora mtu uwe na karatasi halali kwa usalama wako.
Kwa kule watanzania wapo wanaenda fanya vibarua kenya na kurudi..
Na kuna wakenya wanaingia na kutoka,ila wote ni wenyeji huko wanajuana
Hata tunduma watu wanavuka daily pale kwenda nakonde...ingia toka

Kweli kabisa. Mpaka hospital unakuta Kenya wanakuja kutibiwa Tanzania.
 
Mimi nishavuka kwenda kenya kutokea rombo ila nlikuwa na wenyeji
Ukienda kichwa kichwa watakukamata

Ova
Dare not harrass a politician because u dont know who he might be 2mr...
Waulize wale 'waliomteka' Nape wanajisikiaje leo hii!
 
Watanzania bwana sijui tumelogwa! Kama mtu umepanga safari ya Kenya kwa nini usibadishe fedha zako mapema kabla na usubiri mpaka ufike mpakani ubadilishe kwa haraka haraka? Ndiyo maana watu wanapigwa!
Kuna utofauti wa exchange rate utakayo pata ukiwa Tanzania mfano DAr es salaam na rate utapata mpakani au kwa wanao kuja kukuchangia kwenye gari, rate ndio issue ukiachilia usalama.
 
Habari wakuu?

Nilikua nauliza ninaweza nikapenda Kenya bila passport?Nina kitambulisho Cha taifa je nikifika boda siwezi pata pass ya mda ya kuingia Kenya?

Na je basi zinazoenda Nairobi kutokea Dar ni basi Gani?

Natanguliza shukrani
Utaishia jela za kenya zinaitwa shimo la tewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…