Rahabu
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 5,526
- 3,341
wale wazee wa Cc hebu tianeno hapa hawa vidume wawil yaan nisiyempenda had leo nimwez na nusu hata kubp anasema yuko bze ila upande wa pil huyu ambaye hata punje ya mapenz cna ndo anajua mm nakula nn navaa nn mambo ya tanesko na maj kilak2 had namuhurumia leo2 kaniletea fridge na resit yake lak3 kanifanyia surpise.
kasababisha had yule mwingne simkumbuk tena ila ktk hawa bado hakuna nilie mpa MGEGEDO..
wanaCc niingie huku mana nilitendwa vbaya had naingia woga
kasababisha had yule mwingne simkumbuk tena ila ktk hawa bado hakuna nilie mpa MGEGEDO..
wanaCc niingie huku mana nilitendwa vbaya had naingia woga