Nimeishia kutabasabu tu..ilinitokea nikiwa kijana dah mfate wa 2 tu achana na mapenzi ya candle, yani mtu anakupa quirky love then uzembee
...why?...
kumbe love ni kitu ya kufuata tu?
Kuwa makini sister. Kwakuwa hujamvulia chupi yeyote kuwa makini sana. Hutujuia sie wanaume tulivyo. Sometimes utanunuliwa hata nyumba lakini ukishavua chupi tuu,ukampa alichokitaka kwa muda mrefu utaona sasa balaa lake. Ushauri wangu usimvulie chupi yeyote hata huyo wa pili labda akuoe. Akishaona madhaifu yako tuu kitandani kwisha kazi. Cha msingi kuwa makini sana ktkt mahusiano
hii sijui huwa inakuwaje
du ushaur wenu umenifaa sana ila no2 hana haraka ni miaka5 sasa tulikua rafik kawaida2 huyu no1 anataka mgegedo ndo atakua na mapenz na mm had naogopa jaman
yaani umekuja kutangaza huku....?
mkaguzi umeshindwa kuelewa kweli ?Hata mimi nashindwa kuelewa.