Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

Maelezo hayatoshelezi kutoa ushauri, maelezo yako yamekaa kama taarifa. (Unatujuza namna gani ulivyo mzinzi)

Kwanini hutaki kuwa pamoja nao??
Kuna vigezo hawajakidhi???
Kuna madhaifu umeyabaini?
Unahisi hauko tayari???
Hauna malengo nao??
Umri wako je?? Pengine unapambana na jambo lililo nje ya uwezo wako.

Toa maelezo ya kutosha
 
Unazingua.
1681240100237.jpg
 
Back
Top Bottom