Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

Sio kweli

Nampenda sana huyo wa kwanza

Nipo tayari
Sawa, sasa sio kila jambo linahitaji Ushauri ila uwezo wa kufanya maamuzi sahihi.

Anza kujiuliza wewe kwanini hutaki kuwa na yule wa pili, sababu zinazopelekea wewe usiwe tayari kuwa na huyu wapili zinaweza kushabihiana na sababu za huyu wa kwanza kutotaka kuwa na wewe.

Usiishie kuhisi fatilia,
Hataki kuwa na wewe, kwanini??
Haujakidhi vigezo??
Anampenda mwingine???

Yupo kwenye kipindi cha mpito, kinachosababisha asiwe na wewe na labda atakuwa tayari baada ya muda fulani??

Unaposema anakupenda na Unampenda unamaanisha nini wakati unamahusiano mengine???
 
Mapenzi ni utaahira kwahiyo hapo mko mataahira wanne mnafanya utaahira. Ukijiingiza kwenye mapenzi ina maana kuna sehemu ya akili yako unamkabidhi mtu. Kwenye mapenzi unakuta komandoo wa special forces naye analia. Ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom