princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Nafikiri huja nielewa ngoja niku elewesheSi kila mtoto kapatikana ndani ya ndoa
Umemuelewa? Mimi naomba jikwambie tu ukweli, chagua wewe usuke ama unyoe. Kama kweli umekuja huku kuomba ushauri, usichague ushauri postive tu! Sasa huyo kakwambia kama una uhakika kimba ni yako songa mbele Kila mwanamke ana mapungufu yake, umeitikia lakini ukweli ni kwamba umedanganywa. Mimi nakwambia haya kwasababu ni mwanamke. Hivi wewe hiyo mimba unayosema una uhakika ni yako? Uhakika upi? Umepima DNA tumboni ama? Anaejua ukweli ni huyo mke, hakuna njia yyte itakufanya wewe ujue ukweli. Sasa nikwambie ukiona mwanamke kafikia hatua ya ku attend sex na mwanaume mwingine tena kwa Hiali yake na mko kwenye mahusiano. Huyo ushampoteza. Trust meยก Kwanini nakwambia hivo. Nyie wanaume mna cheat kwa tamaa ila mwanamke mpaka akucheat huyo kamaanisha. Sasa kama we uko tyar kuendelea na mtu atakae kuza biashara ila akusalit milele Go on. Ila kama unataka mke hapo huna chako, nimemaliza.Nimekuelewa Kwa herufi kubwa Mkuu
Lwangu mimi siwezi hata nipewe papuchi bure hao ni wa kuliwa na kuondokaYani uoe single maza na mzazi mwenza yupo hai??
Hv huwa mnatumia matrako kufikiria au??
Is that a song,rasta?๐คDon't save her, she don't wanna be saved
Don't save her, she don't wanna be saved
Don't save her, she don't wanna be saved
Don't save her, she don't wanna be saved
Achana nae na we pia lea mtoto kama una hakika ni wako. Kama ni duka unaweza kusimamia hata wewe.Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa anatuma fedha za matumuzi tu.
Sasa Mimi nikawa nimevitiwa na huyo dada kutokana na uchapakazi wake, na hata dukani ana kauli NZURI Kwa wateja na ana mkono wa Biashara kweli kweli. Nikaona huyu ndiye mwanamke wa kuanza naye maisha japo nawaogopa ma single mother ila nikaamua Nile ngumu.
Cha ajabu majuzi nimekuta msg za mwanaume mwingine kwenye simu, Tena sio baba mtoto wake ila mwanaume mwingine kabisa na walikuwa wnapanga miadi ya kuonana waka vunje amri ya sita. Sasa kilichonishitua zaidi ni binti huyu kuwa na uthibutu wa kuchepuka akiwa mjamzito Tena Tumbo tayari limeanza kuonekana. Hivi akishajifingua itakuwaje?
Sasa hapa niko dilema sijui nifanyaje coz ujauzito ni kweli WA kwangu Nina uhakika asilimia 98, na binti ni mchapa kazi Yana ana sifa zote za kuwa mke. Ila kilichonishitua ni hiyo tabia yake. Najiuliza kama itakuwa sahihi kumuacha akiwa mjamzito?
Na pia nilipomuuliza kuhusu huyo MCHEPUKO alijotetea akasema ilikuwa ni chatting tu, coz ni mwanaume wake wa zamani sana ila hawajafanya chochote, na ameshamwambia kuwa yeye ni mchumba WA mtu hivyo hakuna kinacho endelea kati yao.
Mnanishaurije hapo wadau?
Hawa vijana wapumbafu ndo wanasababisha mafuriko..Lwangu mimi siwezi hata nipewe papuchi bure hao ni wa kuliwa na kuondoka
Hakika umenena vizuri Sana mkuu1petro3.7
"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili" โ๏ธ
Me nawashangaa sana vijana wanaokimbilia kuoa eti kwasababu wanao uwezo wa pay bills na mahitaji mengine kwa mwanamke so sadness ๐ข
Ni wanawake wangapi tunashuhudia kwake kuna kila kitu hakosi chochote na gari kanunuliwa lakini anatoka nje ya NDOA yake na dereva bodaboda
Kijana Pesa, magari, na mali sio hitaji la kwanza kwa mwanamke na ukimtangulizia mwanamke hivyo vitu umekwisha takakuja akufanye kitu kibaya sana hata ikapelekea kumtenda ubaya na kuishia jera
Hitaji la kwanza kwa mwanamke ni kumfanya awe Bora na hili ndo hitaji muhimu na kubwa kwa mwanamke yoyote
Kitu ambacho wengi hawajui hata wanawake wenyewe hawajui hi Siri ni kwamba MUNGU ameweka kila kitu NDANI ya MWANAMKE, kuna hadhina kubwa sana NDANI ya MWANAMKE yoyote kwa familia na ndoa yake ila tatizo Wengi hawajui jinsi ya kudispay hi hadhina kwa NDOA, familia Hadi katika jamii inayowazunguka
Kizazi cha Leo cha jinsia ya kike kilivyopotoka na kukosa maarifa eti unakuta MWANAMKE anatafuta MTU mwenye Pesa au KAZI au tajiri ndo aolewe nae ๐ข..... Wakati hivi vyote hawafahamu kua MUNGU ameviweka NDANI yao kwaajili ya familia na NDOA zao
Kijana mke katika NDOA utampata ukiwa huna kitu chochote Kwaiyo tafuta Mwanamke ambae atakuvumilia ukiwa zero wapo wengi na huyo ndiye mke bora, ...
Ukitaka kupata Mwanamke katika NDOA we tafuta binti ukiwa tayari na kitu mkononi hawa viumbe wanaongozwa na tamaa afu ngojea itokee siku hicho kitu kimeondoka ndo utamuona sura yake
KUNA TOFAUTI KATI YA MKE NA MWANAMKE ,
๐AKILI ITAMBADILISHA MWANAMKE KUA MKE B'SE UNAPOKUTANA NA BINTI AT FIRST TIME HUYO NI MWANAMKE SASA NI JUKUMU LAKO KIJANA KUMBADILISHA HUYO MWANAMKE KUA MKE NA SIO KAZI NYEPESI HATA KIDOGO INAHITAJI HEKIMA NA AKILI
MWANAUME Ukitaka kuona dunia chungu na upoteze Radha ya MAISHA ya hapa duniani oa kiumbe kinachoitwa MWANAMKE ndo utaona shughuli yake
Na hapa ndo utaukumbuka ule msemo wa kiswahili usemao " kosea vitu vyotee..! ila usikosee kuoa"๐
Niwaibieni Siri wana mama na dada zangu๐ MWANAUME anaekupenda ni yule anaekufanya wewe uwe BORA na si yule anaekupa vitu โ๏ธ
Kabiiiiiiiiiisa loMambo yao wachieni wenyewe....