Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha porojo fanya kazi weweSiku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Kazi zinafanyika mtumishi lakini mnatukwamishaAcha porojo fanya kazi wewe
Uzushi ni mkubwa...Watanzania kwa kupenda kuzua mambo hamjambo?
Mama kasema hiyo ilikuwa nidhamu ya woga, yeye anataka watumishi wawe na nidhamu ya moyoni. Tumpeni mama muda kidogo tuone mafanikio ya hotuba na ushawishi wake, labda kweli atawabadilisha wabongo kwa hotuba za mipasho.Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Hapo usikute anaumwa miguu kalala tu nyumbani.Lakini akishika simu ni kuzua moja baada ya jingine.😂😂😂😂Uzushi ni mkubwa...
Akumbukwe kwa lipi labda roho mbaya yakeSimba wa Yuda - Mtanikumbuka!
Ukoo wa panyaNoumer sana mtu anazimikiwa na vitz au ITS kisa wese limekata , hatari sana , wachumi wenyewe kama ndio kina mwigulu unadhani kuna kitu kitaenda hapo? nasisitiza tupeane pole tu maana tumepigwa sana na tumekubali.
Hutaki Sasa.? Basi kamshauri mama ako asimamie serikali badala ya porojo.Upuuzi mtupu umeandika hapa! Acha kuchafua ofisi za umma, hizo ulizoandika labda za ukoo wako.
Kwa kukusaidia Magufuli alikwisha kufa wala haji kurudi tena milele, kajipange upya!
Mbona kama unatutishiaUnajua mi ni nani 🤣🤣🤣🤣🤣
mtakupiga halafu nikufunge hata siku 2 ndo ujue mi ni nani 🤣🤣🤣Mbona kama unatutishia
Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
🤣🤣🤣 Sasa ukitaka kila mtu amjue mwenzake humu hats mimi ninaweza kukupiga bitimtakupiga halafu nikufunge hata siku 2 ndo ujue mi ni nani 🤣🤣🤣
tatizo viongozi wa ccm wanakula kwa urefu wa kamba hawajali wanachi wanachowaza ni kubaki madarakani2.Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
nipige mkuu,hii ni awamu ya 6 🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa ukitaka kila mtu amjue mwenzake humu hats mimi ninaweza kukupiga biti