Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

Hivi ni kipi kilifanya RC Mwanza,Albert Chalamila araruliwe na Muumin wa Heshima ya moyoni?

Isijekuwa kuna Simba na Kenge wa Yuda hapa.
 
Acha porojo fanya kazi wewe
 
Mm kwa hili lawama narejesha kwetu wenyewe kwamba atujitambui na atuna isia ya kibinadimu. Yaani mtu amepewa Ajira na miongozo ya utekelezaji pia awepo kiongozi wa kitengo, Idara na Taasisi Bado tunasbilia kusukumwa na kusimamiwa km wanyama.
Kwa hili nashauri wenye makampuni waendelee kuajiri wageni na serikali iunde mfumo wa ajira za mkataba miaka mi3 mitatu.
Pay as U go
Sioni sababu ya kulaumu serikali kuu kwa uzembe huu. Watanzania tubadilike.
Ni ushuhuda kwamba wale wanaopata ibarua nje ya nchi sio kwamba wanalalamika kwa kukandamizwa na kunyanyaswa Bali ni kushindwa kutekeleza majukumu ya mikataba yao
 
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Mama kasema hiyo ilikuwa nidhamu ya woga, yeye anataka watumishi wawe na nidhamu ya moyoni. Tumpeni mama muda kidogo tuone mafanikio ya hotuba na ushawishi wake, labda kweli atawabadilisha wabongo kwa hotuba za mipasho.
 
Miwaongezee mishahara na kuboresha marupurupu na maslahi yao.Siyo unataka tu uhudumiwe kwa haki wakati hautaki kutimiza wajibu wako kwa mtumishi.Nipe haki yangu nitimize wajibu kwa haki.
 
Noumer sana mtu anazimikiwa na vitz au ITS kisa wese limekata , hatari sana , wachumi wenyewe kama ndio kina mwigulu unadhani kuna kitu kitaenda hapo? nasisitiza tupeane pole tu maana tumepigwa sana na tumekubali.
Ukoo wa panya
 
Upuuzi mtupu umeandika hapa! Acha kuchafua ofisi za umma, hizo ulizoandika labda za ukoo wako.

Kwa kukusaidia Magufuli alikwisha kufa wala haji kurudi tena milele, kajipange upya!
Hutaki Sasa.? Basi kamshauri mama ako asimamie serikali badala ya porojo.
 

Eti wanasema jamaa alikua simba wa yuda!! sasa delila mbona kila kitu hovyo kazi michambo tu na taarabu[emoji3]
 
wazee wa legacy, kwanini asingeweka mifumo imara?
 
tatizo viongozi wa ccm wanakula kwa urefu wa kamba hawajali wanachi wanachowaza ni kubaki madarakani2.
 
Hataki watumishi waoga kama ilivyokuwa kwa mwendazake😁😁😁.

Mwambieni atafute kampuni ambayo boss anacheka cheka na staff wake aone utendaji wake ukoje.

Kazi za uma zote ni za wito, ila watumishi wengi wito hawana wameenda kupumzika hukk, bila moto hawaendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…