namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 744
Mzushi kiwango cha lami wewe."...ndizi mbivu 10,000"? Wacha bhwanah, wapi huko!
Mimi haya mambo siyajui mkuu, kwa hiyo usinilaumu kwa kuuliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzushi kiwango cha lami wewe."...ndizi mbivu 10,000"? Wacha bhwanah, wapi huko!
Mimi haya mambo siyajui mkuu, kwa hiyo usinilaumu kwa kuuliza.
Pole sana..na swali moja tu..mnafikaje huko ulaya na marekani?Acha kabisa Uhamiaji, nilikwenda kuwagongea mihuri vijana wangu wawili ambao wote wana pasipoti za [emoji1063] kwa kuzaliwa, ili kuwapa ile option wakiwa watu wazima wenyewe waje kuamua kama wanataka utanzania ama ubeberu, heeee tate naneeeeee, niligombewa kama mpira wa kona , kila mtu anatak rushwa, walipogundua sipo tayari kutoa rushwa, kila mhudumu pale kurasini akawa ananitreat kama kinyesi, baada ya kuchoma sana dawa ya mbu , nenda rudi , kata kulia , nyuma geuka ya wiki kadhaa.
Nikaamua sihitaji vijana wangu wawe wadanganyika tena,
Changamoto ikabaki kwangu mzalendo kubadilisha pasipoti kwenda kwenye digitali, heeeee abaghoshaaaa, nikaambiwa nianzie kwenye mjumbe wa makumi, sirikali ya mtaa, mtenda kata, Halafu ndio nije sirikali kuu, kuapa wazazi, NIDA, RITA, TANESCO , DAWASCO nk, yaani kwa ufupi afadhali ya mkimbizi kutoka Mogadishu anavyoomba pasipoti kwa mara ya kwanza.
Baada ya kwata ya wiki kadhaa na hatimae mdau wangu mmoja katibu mkuu wa wizara moja nyeti kuingilia kati ndio nikabadilishiwa hiyo ya kuitwa basi buti ya kidanganyika.
Na baada ya mitanange hiyo nikakata shauri na mimi kuwa uzalendo tena basi.
Baada ya kujizuzua kwa miaka takriban 20 kun'gan'gania uraia wa Danganyika, nilifikia uamuzi rasmi wa kuwa raia wa [emoji1063], yaani nikisikia au kuona kitu [emoji1241] ssasa hivi ile taswira ya tu dada tutanashati lakini kenye roho susuavu kama jini mtoa roho kanakuja akilini, siku na mood inaharibika kabisaaa
Mfumo ni mbovu kuanzia juu acha watu wale rushwa kwa urefu wa kamba zaoSiku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Mfumo ccm.Taja huo mfumo
Tuweke chama gani?Tubadilishe chama tawala la sivyo tukae kimya tu.
Chadema au kingine kinachofaa lakini sio ccm.Tuweke chama gani?
Mbona hizo ofisi za umma hamzitaji? Huko Kwenye ofisi za umma unaenda peke yako? 😆😆.Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Ndio wananchi hawa waelewi mnasimamia nini.Mfumo ccm.
Tatizo mnaongea bila research. Unafikiri watumishi wa umma cyo binadamu?Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Wamezoea kuswagwa kama wanyama. Hovyo sana hawaMbona hizo ofisi za umma hamzitaji? Huko Kwenye ofisi za umma unaenda peke yako? 😆😆.
Mtatunga kila chorus ila legacy lazima ifukiwe with outstanding results and performance.
Nimezusha jambo gani, umevurugwa na bangi kichwani mwako?
Ni nyumbu tu
Wanaoswagwa ni wale wanaomuimba mfa kibudu kila kuficha.haya sasa wenyewe wamechukua chama twende kaziNi nyumbu tu
Kwa huyu rahis anayecheka cheka na kutia vitisho vya mdomoni vya kwny kanga nchi itapigwa saaaaanaSiku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Mkuu, umesokia au wewe ndio unasema?Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Mkuu uko too general kama mtu anayetaka kuupaka upepo matope.Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Kazi za kumwaga ughaibuni, Ingia kwenye mitandao search kazi 🇨🇦, 🇦🇺, 🇳🇿, 🇬🇧 na Commonwealth yote kwa ujumla.Pole sana..na swali moja tu..mnafikaje huko ulaya na marekani?
#MaendeleoHayanaChama
Ni bora kwako ndio sio boraUbovu wa Rais Samiah haumfanyi Magufuri kuwa bora