masdinero masproblemas
JF-Expert Member
- Mar 19, 2022
- 224
- 177
Tungekuwa tumepishana na lifti ya maendeleoTungebadilisha chama 2015 , nini kingebadilika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tungekuwa tumepishana na lifti ya maendeleoTungebadilisha chama 2015 , nini kingebadilika?
Ujinga mkubwa sana nchi hii watu wameshindwa kabisa kuona jinsi huyo Jiwe alivyoharibu nchi hii. Tuna kazi kubwa!Tatizo sio chama bali walioko maofisini... jiwe aliwatia chaji wakawajibika kupitia chama hichi hichi
Kajenga nchi. Kiubinadamu hakuwa kamili, lakini kuna mambo mengi ya kujifunza na kuendeleza zaidi ya yale ya kuacha.Ujinga mkubwa sana nchi hii watu wameshindwa kabisa kuona jinsi huyo Jiwe alivyoharibu nchi hii. Tuna kazi kubwa!
Watanzania wanadanganyika kirahisi mno ndio maana tunaendelea kushangilia haya madaraja yanayopita baharini kwamba ndio mambo makubwa tukisahau vipaumbele vyetu.Kajenga nchi. Kiubinadamu hakuwa kamili, lakini kuna mambo mengi ya kujifunza na kuendeleza zaidi ya yale ya kuacha.
Kisa tu kakupiga chini na Cheti chako fake ndiyo maana unamchukia na kumuona empty headed!? Pole huu ni mchezo tu wala hautaki hasira tulia Kama unanyolewa!!ndio ujue alikua empty headed
Nakazia
😄😅😆😁😀Msimlaumu Mama Jamani
Amesema Pelekeni Lawama Kwa Ukraine vs Russia
Ndizi Mbivu Sasa Hivi Moja Tshs 10000/=
AWAMU YA 6 HAIGOPWI NA WATUMUSHI WA UMMA Rushwa na NJOO KESHO VIMERUDI UPYASiku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Taja huo mfumoTatizo letu si mtu ni mfumo. Tumekuwa tukibadilisha watu tangu uhuru lakini matatizo ya mtanzania yamebaki pale pale.
Sielewi hoja yako... madaraja kujengwa sio tatizo hilo.Watanzania wanadanganyika kirahisi mno ndio maana tunaendelea kushangilia haya madaraja yanayopita baharini kwamba ndio mambo makubwa tukisahau vipaumbele vyetu.
Huyu Mama kwa kweli anaturudisha kule alikotufikisha JK kwamba mazoba ndiyo watu wa maana hapa nchini.Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Mkuu TANESCO wanaongoza hizo sifa mbaya. Huko mitaani minguzo yao (mamia kwa mamia) imetupwa tupwa kandokando ya barabara, lakini ukienda kuwataka wakuwekee umeme eatakuambia nguzo hamna. WAJIREKEBISHESiku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Ni kweli kabisa,Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Wakati wa JPM yalikuwepo isipokuwa yalikuwa hayaruhusiwi kuripotiwa. Kumbuka yaliyompata mwandishi wa habari aliyepiga picha barabara mbovu.Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na zaidi unaweza kuangaliwa tu bila kusikilizwa", alisema mdau mmoja.
Lakini cha ajabu katikati ya vilio na malalamiko JPM anatajwa na wengine wakienda mbali zaidi wakisema JPM aliweza kudhibiti hali hii ya uzembe na rushwa maofisini tunamkumbuka.
Wito
Malalamiko haya yanatolewa na watu wa chini kabisa ambao si rahisi kuweza kufikisha malalamiko yao Juu na kwa kuwa kisemwacho kipo basi Serikali haina budi kudhibiti janga hili kwa nchi.
Naomba kukiri nilichowahi kukutana nacho TRA kinatisha sana. Ile hofu ya mteja ni mfalme TRA hawana kabisa, rushwa na uzembe vinafanyika waziwazi. Hivyo nikisikia watu wanalalamikia utendaji wa mamlaka hii ni ishara wamechoka.
Halmashauri napo hali si shwari, kuna uzembe katika utoaji wa huduma hususani katika idara za afya. Wagonjwa kutopewa huduma stahiki ni jambo la kawaida likichangiwa na rushwa.
Jifunze kiswahili mkuuMm kwa hili lawama narejesha kwetu wenyewe kwamba atujitambui na atuna isia ya kibinadimu. Yaani mtu amepewa Ajira na miongozo ya utekelezaji pia awepo kiongozi wa kitengo, Idara na Taasisi Bado tunasbilia kusukumwa na kusimamiwa km wanyama.
Kwa hili nashauri wenye makampuni waendelee kuajiri wageni na serikali iunde mfumo wa ajira za mkataba miaka mi3 mitatu.
Pay as U go
Sioni sababu ya kulaumu serikali kuu kwa uzembe huu. Watanzania tubadilike.
Ni ushuhuda kwamba wale wanaopata ibarua nje ya nchi sio kwamba wanalalamika kwa kukandamizwa na kunyanyaswa Bali ni kushindwa kutekeleza majukumu ya mikataba yao
Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.