Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

Pole sana..na swali moja tu..mnafikaje huko ulaya na marekani?

#MaendeleoHayanaChama
 
Mfumo ni mbovu kuanzia juu acha watu wale rushwa kwa urefu wa kamba zao
 
Mbona hizo ofisi za umma hamzitaji? Huko Kwenye ofisi za umma unaenda peke yako? 😆😆.

Mtatunga kila chorus ila legacy lazima ifukiwe with outstanding results and performance.
 
Tatizo mnaongea bila research. Unafikiri watumishi wa umma cyo binadamu?
Hakuna rushwa iliyowahi kuisha kwenye utumishi wa umma acheni unafiki wenu hapo
Alichokifaanya yule mwenzenu ni kutia watu uwoga.na kwakuwa watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu waoga na wapumbavu wakakubali kujazwa house na uwoga
 
Naona vijana wa Simba wa yuda mmekuwa wapinzani🚶
 
K
Kwa huyu rahis anayecheka cheka na kutia vitisho vya mdomoni vya kwny kanga nchi itapigwa saaaaana
 
Mkuu, umesokia au wewe ndio unasema?
 
Tunamkumbuka sana simba wetu wa Yuda... Apumzike kwa amani mbinguni.
 
Mkuu uko too general kama mtu anayetaka kuupaka upepo matope.
TOA MFANO MMOJA TU, nauone kama haukuchukuliwa hatua.
 
Pole sana..na swali moja tu..mnafikaje huko ulaya na marekani?

#MaendeleoHayanaChama
Kazi za kumwaga ughaibuni, Ingia kwenye mitandao search kazi 🇨🇦, 🇦🇺, 🇳🇿, 🇬🇧 na Commonwealth yote kwa ujumla.
Kaya zinazohitajika sana ni pamoja na afya, ufundi na teknolojia.
Hata ualimu khususan wa masomo ya hisabati na sayansi.
🇬🇧 sasa hivi wanachukua radiographers kutoka Nigeria, 🇿🇦 na 🇿🇼. Wanapenda sana nguvu kazi kutoka kusini mwa jangwa la sahara kwa sababu sio wavivu kama wa 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 , halaf wako competant, wa kwao mtu akiwa plain film ndio hiyo tu, CT ndio hiyo, MRI ni moja tu, lakini vyuma kutoka Afrika mtu mmoja anakokota Plain film, CT, MRI, DEXA, PET CT, Fluoroscopy, US na mpaka kuripoti wanajua, sasa baada ya mabeberu kustukia huo mchongo wakaona ajira wapeleke Afrika.
Michongo ipo ya kumwaga huku sema vijana wa kibongo mitandao wao wanatumia kwa udaku sio ishu za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…