Kweli kabisa,maana jamaa alikuwa katili sana,arudishwe huko wilaya ya hai ili wananchi wamyoshe vizuri mpaka akili imkae sawa.Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya uliokithirika.
Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.
Bwana Sabaya amelawiti ambinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.
Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.
Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
Alikuwa akilindwa na Jiwe,stone. Makonda aliamua kumtema sio Kwa kupenda Bali issue ya Marekani. Hii ndio type na watu WA Jiwe, dhulmati, wabakaji NK.Duh hayo yote akifanya serikali ilikuwa wapi !!
Acha unafiki na umbea kama siyo ujuha na roho mbaya. Itakusaidia nini hiyo roho mbaya?Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya uliokithirika.
Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.
Bwana Sabaya amelawiti ambinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.
Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.
Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
Kwa hiyo kaonewa[emoji15][emoji15][emoji15] maccm mna shida Sana,peke yako ndo una mteteaSawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Apigwe mawe hadhalani mpaka afe, amfate mwendazake, next awe bashiteAcha unafiki na umbea kama siyo ujuha na roho mbaya. Itakusaidia nini hiyo roho mbaya?
Walifanyiwa na wote kabisa wakakaa kimya, kweli? Leo ndo wanakumbuka kwamba walifanyiwa ukatili?
Tumwogope Mungu, hata kama ni mkosefu, ahukumiwe kwa lile la haki.
Matakata hayo achana nayoApigwe mawe hadhalani mpaka afe, amfate mwendazake, next awe bashite
Mpumba.vu wewe, mpeleke Hai uone kama mahakamani patakalika...kipenzi cha wanyonge huyo na wanyonge hao wala hawajui smartphone so hawawezi kuja msemea hapa.Kwa hiyo kaonewa[emoji15][emoji15][emoji15] maccm mna shida Sana,peke yako ndo una mtetea
Mfukoni kwa mtu mmoja ambae kwa sasa alishahamia kwenye mbaoDuh hayo yote akifanya serikali ilikuwa wapi !!
Ilikuwa kanisani ikisema tumuamini Mungu kweri kweri msema kweri ni mpnz wa munguDuh hayo yote akifanya serikali ilikuwa wapi !!
Kwahiyo tuhuma zidi yake zimetengenezwa na chadema? Anatuhumiwa kwa uhujumu uchumiSawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Wakwepa kodi Arusha?by the way unajua JD ya DC? na mipaka yake ya kazi?Sawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya uliokithirika.
Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.
Bwana Sabaya amelawiti ambinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.
Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.
Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
Mkuu wa Gereza ametumia tafsida hapo, tafakari..