Ninekuwa na maamuzi, Sabaya ningempeleka Hai niwaachie wananchi wamsulubishe wenyewe

Ninekuwa na maamuzi, Sabaya ningempeleka Hai niwaachie wananchi wamsulubishe wenyewe

Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya uliokithirika.

Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.

Bwana Sabaya amelawiti ambinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.

Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.

Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
Angepikiwa mbwa mara moja.
 
Mpumba.vu wewe, mpeleke Hai uone kama mahakamani patakalika...kipenzi cha wanyonge huyo na wanyonge hao wala hawajui smartphone so hawawezi kuja msemea hapa.
Mpumbavu ni wewe na familia yako,
Ina maana wewe unajua kuliko serikali[emoji34][emoji34] nenda kawe wakili wake Basi.
 
Acha unafiki na umbea kama siyo ujuha na roho mbaya. Itakusaidia nini hiyo roho mbaya?

Walifanyiwa na wote kabisa wakakaa kimya, kweli? Leo ndo wanakumbuka kwamba walifanyiwa ukatili?

Tumwogope Mungu, hata kama ni mkosefu, ahukumiwe kwa lile la haki.
Hakika kama kuna yeyote alienda takukuru kutoa ushahidi wa uongo basi malipo ni hapa hapa duniani,nae kjna Siku itamrudia
 
#29October2020; nilimkosoa Sabaya kuhusu kutumia magari yenye namba "feki" za UN kuteka na kuumiza wananchi wa Hai.

#30October2020; Sabaya akanipigia simu mara 3 sikupokea. Akaniandikia sms ya matusi na kutishia kuniua.

#1November2020; Nikascreenshot ujumbe huo na kumtumia rafiki yangu aliyekua kiongozi serikalini, just in case lolote likinitokea.

#26December2020; tukiwa eneo moja Moshi mimi na Don Mbowe, baada ya kuondoka Sabaya alivamia eneo hilo na kudai aoneshwe tulipo. Alipoambiwa tumeondoka alikataa kukubali. Akapiga risasi hewani na kuvuruga biashara eneo hilo.

#28December2020; Akakutana na binamu yangu Moshi (wanafahamiana). Akamwambia mpigie Malisa mwambie aje hapa, lakini usimwambie tupo wote. Jamaa akakataa. Akampiga na kumlaza rumande. Akamnyang'anya simu na hajamrudishia hadi leo.

#13May2021; Mama Samia akamsimamisha kazi kwa tuhuma mbalimbali.

#04June2021; akapandishwa mahakamani kwa makosa mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka.

Nimwambie nini Mungu?

Malisa GJ
JamiiForums-1686024478.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Kwa Hiyo Ameonewa?? Wewe unaweza kusaidia Ushahidi zaidi kwasababu Jamhuri inamtuhumu kwa maovu mengi yawezekana ulikua sehemu ya genge lake la uovu...Jifunzeni Kutotenda Maovu Mkiwa na Nafasi....
 
Sawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Hayajakukuta na hauna ndugu yako yeyote aliye dhulumiwa na bwana sabaya ni aibu ndugu...
 
Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya ubaya uliokithirika.

Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa.

Bwana Sabaya amelawiti mabinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono, amenyang'anya mali za watu kwa mtutu wa bunduki.
Huyu bwana alikuwa akienda hoteli kulala na kupatiwa huduma yoyote halipi na hakutaka kudaiwa.

Ameua biashara za watu wengi kwa kutumia cheo chake.

Ningekuwa na mamlaka huyu bwana nisingempeleka mahakamani, ningempeleka Hai niwaachie wananchi waamue.
Ushahidi unao ama na ww umedandia mitandaoni
 
Hapana huo si utawala wa sheria.. Muhimu ni kila aliyetendewa ubaya na mtuhumiwa sabaya apaleke ushahidi wake sehemu stahiki

na ikifika hatua hii ndio unapoona dalili 100% za jamaa kuachiwa huru.
 
Jana kakaribishwa hapo jela ya Kisongo kwa kuambiwa lazima aoge alitaka kugoma na wale wahuni wenzie wametenganishwa ilibidi aoge tuu...taarifa za huko tutaendelea kuzipata mubashara...
 
Jana kakaribishwa hapo jela ya Kisongo kwa kuambiwa lazima aoge alitaka kugoma na wale wahuni wenzie wametenganishwa ilibidi aoge tuu...taarifa za huko tutaendelea kuzipata mubashara...
Hahaha
 
Nani aliyekuwa akimpa silaha na askari sabaya akafanye uhalifu je OCD wa Hai kuna haja ya kuendelea kuwepo ofisini?
 
Jana kakaribishwa hapo jela ya Kisongo kwa kuambiwa lazima aoge alitaka kugoma na wale wahuni wenzie wametenganishwa ilibidi aoge tuu...taarifa za huko tutaendelea kuzipata mubashara...
Ajapakatwa bado
 
Back
Top Bottom