Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Mkuu wa kikosi, naomba unipatie taarifa za huko zote kuhusiana na huyu jambazi aisee. Natanguliza shukrani Mkuu.Jana kakaribishwa hapo jela ya Kisongo kwa kuambiwa lazima aoge alitaka kugoma na wale wahuni wenzie wametenganishwa ilibidi aoge tuu...taarifa za huko tutaendelea kuzipata mubashara...