Jana kakaribishwa hapo jela ya Kisongo kwa kuambiwa lazima aoge alitaka kugoma na wale wahuni wenzie wametenganishwa ilibidi aoge tuu...taarifa za huko tutaendelea kuzipata mubashara...
Sawa kila mtu atasema lake lakini Mimi nasimama naye kijana alikuwa mchapa kazi na alithubutu Hadi kuwaibua wakwepa Kodi na watu wanaofanya kazi isivyo halali tafuta video zake utashihudia...mengine Ni maneno tu
Mliompa sabaya ushirikiano kutenda uhalifu wote mjiandae ni lzm atawataja nyote kama ulimpa askari na silaha akafanye uhalifu andaa pingu.Kamati nzima ya ulinzi na usalama na watendaji wote waliompa sapoti wawajibishwe