The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Inategemea na familia uliyotokea, kama ni makapuku itabidi upitie huko ili upate elimu nafuu then uwe na uhakika na mkopo wa heslbHakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.
Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.
Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.
Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.
Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.
Kwani ni elimu ya kulazimishwa au hiari? naona haukuwa serious ukalamba D moja na sasa upo nyuma ya yule wa form four mliemaliza nae! hebu prove me wrong!Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.
Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.
Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.
Sidhan kama alifeli. Huendakuwa alifika mpaka chuo. Lakin akiangalia nyuma anaona maybe angekuwa mbali zaid ya hapoAisifuye mvua imemnyeshea.
Nahisi unalalamika sabab umefeli.
Mkuu ungetusaidia wengi kwa ufafanuzi. Vijana ndio wamepata results zao za F4 hivyo ulicho andika kina wahusu lakini bila kuwaambia "ungejua nini" na kwa nini ni wastage of resources unawaacha njia panda. Advance inakuwaje hivyo?Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Hata wanaopitia College (NACTE) bila kwenda advance nao (wengune) hupata HESLB.Sijutii kwenda A-Level ilinifanya niwahi kujitegemea baada ya kuvishika vimilioni vya Heslb ila sasa hv vinanitesa 15%
Kama wote mnaishia kwenda kuchukua Gamba basi uwezekano ni mkubwa zaidi kwa yule anaepitia Advance kupata gamba kwa muda mfupi na kwa gharama chache zaidi.hapo anaenda zake kupiga kazi,
kwa 3 yrs then anaenda zake kuchukua Gamba
Tena akiwa ndani ya system
Uwezo mdogo.kichwani pumba km govi.hiyo username badilisha haraka unadhalilisha sheria.Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.