Ningejua mapema nisingesoma advanced secondary education, it is completely a wastage of time and resources

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.

Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.

Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.

Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.
 
In

Inategemea na familia uliyotokea, kama ni makapuku itabidi upitie huko ili upate elimu nafuu then uwe na uhakika na mkopo wa heslb
 
Mkuu wasirekebishe kabisa mkuu.

Waache hivyo hivyo ili tupunguze watu wa kwenda chuo.wakitoa huo mfumo maana yake kama kuna wahitimu wa kidato cha nne 100 basi mia moja wote watakimbilia vyuoni jambo ambalo litaongeza shida ya kupata nafasi za kusoma.

Lakini huu mfumo unasaidia kama kuna wahitimu wa kidato cha nne 100 basi 50 watahadaika na form five alafu 50 wanajichanganya chuo.hivyo tunakuwa na nafasi za kutosha.

Acha wengine wakasomee five na six wengine waende chuo kubalance hiyo population.
 
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.

Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.

Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.

Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.

Nashukuru Mungu nililiona hili nilipomaliza form 4 nikaenda college nikamaliza nikapata kazi mapema nawaza kuendelea sasa na ngazi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.

Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.

Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.

Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.
Kwani ni elimu ya kulazimishwa au hiari? naona haukuwa serious ukalamba D moja na sasa upo nyuma ya yule wa form four mliemaliza nae! hebu prove me wrong!
 
ahhaha
nilisanuka mapema
nilichagua technical college
nikaenda zangu
ile natoka tu, na kazi hapo hapo ya 2 mill per month

Baada ya miaka mi 3 ya kazi
nikaenda zangu south kuchukua degree

ile narudi bongo
nuksi hiyo imeingia (jiwe).

hapa.nafikiria kwenda HAVARD au Caltech kupiga masters

all in all kila mtu ana njia zake za kutoboaa

japo wale walioenda advance wengi wemeishia kushika chaki
na wengine mpaka leo wanadaiwa 13% ya heslb

wakati huo c e Ni mwendo wa kitonga tu
 
Nashangaa
madogo wanapambana kwenda advance then baada ya miaka mi 2 wanaanza Tena stage Nyingine

unakuta mtu anaenda kusoma
Pcm miaka mi 2
then baada ya hapo,anaenda chuo let's say kafaulu vizuri anasoma 4yrs kuwa injinia

baada ya hapo,anaanza kupambana na soko

wakati
angeenda zake college
akapiga let's say civil 3 yrs

so,wenzake wakiwa first year yeye ndo anamaliza chuo!

hapo anaenda zake kupiga kazi,
kwa 3 yrs then anaenda zake kuchukua Gamba
Tena akiwa ndani ya system

hii formula ni nzuri Sana

lakini,tuache UNAFIKI.
College Ni pa Gumu Sanaa kwa mtu wa O Level
 
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Mkuu ungetusaidia wengi kwa ufafanuzi. Vijana ndio wamepata results zao za F4 hivyo ulicho andika kina wahusu lakini bila kuwaambia "ungejua nini" na kwa nini ni wastage of resources unawaacha njia panda. Advance inakuwaje hivyo?
 
Sijutii kwenda A-Level ilinifanya niwahi kujitegemea baada ya kuvishika vimilioni vya Heslb ila sasa hv vinanitesa 15%
Hata wanaopitia College (NACTE) bila kwenda advance nao (wengune) hupata HESLB.
 
hapo anaenda zake kupiga kazi,
kwa 3 yrs then anaenda zake kuchukua Gamba
Tena akiwa ndani ya system
Kama wote mnaishia kwenda kuchukua Gamba basi uwezekano ni mkubwa zaidi kwa yule anaepitia Advance kupata gamba kwa muda mfupi na kwa gharama chache zaidi.
 
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.

Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.

Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.

Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.
Uwezo mdogo.kichwani pumba km govi.hiyo username badilisha haraka unadhalilisha sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom