The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Mjomba wangu alinishauri nilipofika form 4 kua nisijaze advanced secondary schools, nikajifanya mjanja nikajaza, matokeo yakatoka nimefaulu na nikapangiwa shule ya advance. Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma hii useless and nonsense education program.
Elimu ya form four tu ilikua inanitosha kwenda chuo na kufanya mambo mengine.
Ni wakati sasa serikali ipitie upya mfumo wetu wa elimu, iondoe huu mfumo wa kidato cha tano na sita. Ni kupotezea watu muda na mali zao.