Ningejua nisingewalea watoto wangu wa kufikia. Najuta!

...Alama wanajitia kuwa Sasa hawajuia Achana nao! KARMA itafanya kazi. Ila huyo unayesema ni Mke wako, ni Zumbukuku!!
Pole.
 
Hatari sana!..wanaume tujifunze hapa, wanaume tuwekezeni kwenye mambo yetu binafsi Aisee.

Hii mambo ya kujitoa sana eti familia ndio kuja kulimia meno 🤣

Pole mkuu!..🤣🤣
 
[emoji3516]
TATEPA.
 
Mbona mwandiko sio wa msataafu uhu samahani lakin
Mpaka nimecheka kwa sauti.

Sms hii siyakupuzia yaani watoto 2 mmoja direct,kasomea USA na sasa ni daktari, mtoto wa pili Rubani nasikia ada yake ni 36M na zaidi.

Hlf uandishi kama mtu 26yrs kumbe ni 60 above.

Tuendelee kuchangia
 
Mbombongafu
 
Kama hii stori ya kweli inasikitisha sana na kama ya kutunga unatia moyo wa wasiwasi wenye watoto wa kambo na kuwalea kama wao.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…