Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hapo hapo unashangaa mwandiko mzuri wa mstaafu aliyebobea kwenye kazi hadi akastaafu.Asante bado najifunza kiswahili kinanipa shida kabisa
Mstaaf si Kuna pacent ya mafao analipwaga Kila mwez,Sasa yey inakuwaje anaposema Hana hata hela ya kula??True story lakini kisa hiki kimetokea huko Nigeria sio hapa TZ
Excellent!!! Umeongea kitu Cha msing Sana mkuu!! Kat ya wachangiaj wote wew ndo umefkiria logicallyTenda wema, nenda zako! Acha kusubiria shukrani wewe.
Halafu wakati mwingine uache uongo wako. Miaka 30 kwenye ndoa siyo mchezo! Huo ujasiri wa huyo mwanamke kurudiana na mzazi mwenzake wa zamani, angeutoa wapi!
Kwan wew ni single maza ??Najua umeandika ila watoto wetu wasilelewe....ni sawa pia🤝
[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe[emoji23][emoji23]
![]()
Ndiyo mkuuKwan wew ni single maza ??
Mke mwenye watoto ntaoa sana/na weye oa tu... ili mradi awe mtamuuuu. Watoto kupeleka shule ni hiari yako...pima kwanza je mama yao anakismart na weye? Km kipo wapeleke shule tu...na wewe jiweke sawa kiuchumi mnooo.. kupitia nyota yake huyo Mama yao...so wakija sawa wasopo kuja sawa tu kula maisha kwa kwenda mbele....mleta mada hajui kuwa alipata hela kupitia kismart cha Mama yao..... Sasa mama hayupo analalama......amini usiamini kuna ke ukikaa nao unapata hela mingi si kawaida hata za kununua Meli ya mizigo.....ndo maana watu hatu waachi ke wa ivo hata km amepinda miguu...kiwete......zeruzeru...hatujali ili mradi nyota ya mafanikio inatuwakia kupitia yeye......si mnamuona Mengi alijichanganya akamuacha yule Mama cheupe!! Peeee!!! akafa kizembe sana. Unakumbuka???Siku nyingine usioe mwanamke mwenye watoto.
PU.M.B.A.VU sana alafu pole alufu p.u.mb.a.vu tena, hivi mkiambiwaga msioe single mothers hua hamuelewi, mnajifanya ma drg love, mnaojua kupenda. You guys who marry single mothers are stupid as hell.Nilimuoa mke wangu miaka 30 iliyopita. Alikuja na Watoto wake wawili wa ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana na nikawakubali na kuwafanya kama watoto wangu kwani sikubahatika kuwa Na Mtoto Wangu mwenyewe.
Tulianza Maisha Yetu, Tulikaa kwa amani katika nyumba ya kupanga. Nilikuwa nikifanya kazi wakati huo na nilihakikisha kuwa ninawapeleka watoto Hao shule. baba yao hakuwahi kuja kuwaona wala kutoa Huduma Zozote.
Watoto Hao walikuwa Wapo Vizuri Sana Katika Masomo Yao Shuleni. Walisoma Hadi Chuo Na Kubahatika kuajiriwa Mmoja Ni Daktari Ambaye Alipata Udhamini wa kumaliza masomo yake huko USA.
Amerudi na tayari ameshaajiriwa, kijana wa pili ni rubani ambaye nilitumia akiba yangu yote kumlipia kozi yake huko Afrika Kusini, pia amerudi na ameajiriwa pia.
Furaha yangu ni kwamba watoto wangu wamefanikiwa na wamenunua nyumba kubwa, shida yangu ni kwamba mke wangu na watoto hao wawili wameungana na baba yao na sasa wanaishi pamoja kwa furaha kama familia.
Wamenitelekeza hapa, siwezi hata kulipa kodi tena, nilistaafu zamani, nimekuwa nikiomba omba kwa Watu Wanisaidie Hela kwa watu nipate chakula na Hata sehemu Ya kulala. Sasa hivi hata simu yangu hawapokei tena na wameniblock.