Ningejua nisingewalea watoto wangu wa kufikia. Najuta!

Chai. Sema utakuwa umepitia kitu kinachofanana na hiki af ukazingua mbeleni
 
Omba omba halafu una smart phone ya kuingia jf mkuu?
 
Fanya maamuzi magumu ndugu yangu sumu ya panya haiuzwi ghali sana
Ndo kwanzaa utazidi kudhraulika au kama una ujasiri wa kuvumilia kaa kimya fanya mambo yako mshirikishe Mungu
 
Utakuwa na undugu na Nzee Abduli halafu huyo baba ana undugu na Nzee Shante

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Jamaaa wanasemaga uoe single mother lbd uoneshwe kaburi [emoji28][emoji28]
 
Ukiona hauna uzazi, nenda kituo cha watoto yatima au waliotelekezwa na wazazi wao na hawawajui kabisa, chukua na lea!

Kingine chukua mtoto/watoto wa ndugu zako huko vijijini, akikua na kufanikiwa akakusahau, sawa tu ila umesaidia ndugu zako!

Achana na mambo mengine!
 
Una idea nzuri ya utunzi kipindi kingine uwe unatype mambo yaliyokuwa yamekutokea wewe mwenyewe kwa hisia zaidi tutayajua tu hata usipotumia nguvu nyingi za ushawishi
 
Mmeanza story zenu ili Tu walio single mothe waonekani hawafai!
Kama ulikuwa Baba kweli haiwezekani mpaka sasa uwe ujajenga hata kama ulikuwa unakaa Kota kiinua mgongo ungejenga!
Kwan umeoa single Maza mkuu [emoji1787][emoji1787]?
 
Mwanamke na Mume wake wa awali watakua ni majasusi kutoka Marekani maana walitumia plan ya muda mrefu wakiamini watafanikiwa
 
Tenda wema nenda zako..
Bwana yeye ajua yote na ataoupigania.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Furaha yangu ni kwamba watoto wangu wamefanikiwa
kuna somewhere ulijidanganya au ulidanganywa, aliekuambia hao ni watoto wako ni nani? Afadhari hata ungelea watoto wa dadaako wangekusaidia lakini sio kwa blander uliyoifanya. Ila mzee pole sana.
 
Mmeanza story zenu ili Tu walio single mothe waonekani hawafai!
Kama ulikuwa Baba kweli haiwezekani mpaka sasa uwe ujajenga hata kama ulikuwa unakaa Kota kiinua mgongo ungejenga!
Alitendea wema kiinua mgongo, thawabu yake ipo mbinguni
 
Kawaasomee albadri au hiyo nyumba yao kaipige bomu kabisaa
 
Tenda wema, nenda zako! Acha kusubiria shukrani wewe.

Halafu wakati mwingine uache uongo wako. Miaka 30 kwenye ndoa siyo mchezo! Huo ujasiri wa huyo mwanamke kurudiana na mzazi mwenzake wa zamani, angeutoa wapi!
 
Pole sana... tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi ana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…