Ningejua nisingewalea watoto wangu wa kufikia. Najuta!

Pole sana, pamoja na pole hiyo nakupongeza sana kuwafikisha hapo walipofikia, ulifanya sehemu yako kwa upendo.
Fahamu kwamba hukupanda bure, Mungu atakulipa kwa ulichopanda.
 
Mbna kama hii story chenga , Kwa yale uliyoyafanya Kwa hao watoto chance ya kukufanyia hvyo mi 0.001%, kwamba umewapitisha huko kote still upo nyumba ya kupanga , mkuu kama unataka kutuokota hv
 
Tenda wema nenda zako usingoje shukrani, mwenyezi Mungu atakulipia kile ulichofanya kwao.
 
Mshukuru Mungu kisha mwambie yeye ndo atakulipa...USITEGEMEE MALIPO KWA WANADAMU BABA YANGU[emoji1488]
 
Pole sana mkuu
 
Single mother hakupendi, anachotaka ni mchango wako wa kifedha na ubaba kwenye malezi ya watoto wake. Watoto wakikua na kuanza kujitegemea unaachwa solemba.

Narudia tena single mother hakupendi ana hasira tu kwa mzazi mwenzake kwaiyo anataka kumrusha roho mzazi mwenzake ajue ame-move on. Hizi hasira zikiisha na mzazi mwenzake akijirudi unaachwa solemba.

Ifike hatua wanaume tushtuke na kuona ukweli kwamba wanawake hawatupendi wanatutumia tu.

UKiwa kwenye mahusiano usijitoe, usiwekeze na jipe kipaumbele wewe mwenyewe.
 

Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…