Kazi ya Mungu haina makosa.Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza hayati Magufuli,anasahau mheshimiwa Magufuli alimteua out of blue,hakuna mtanganyika aliyekua anamfahamu wala.
Eti leo hii mtu kama huyo anajifanya kujibishana na kanisa teule la Mungu.
Wakuu,ningekua mimi ndiye Samia Hassan Suluhu na ukilaza wangu nilionao ningekua nakesha kwenye kaburi la Hayati Magufuli nikiimba na kusujudu kila wakati.
Kwani binadamu huwa hashukuriwi?Kwahiyo Magufuli alikuwa Mungu hadi ashukuriwe?
Huyo mama anawashukuru waliofyatua mtego na kuwaona kama miungu wakeMtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mleta uzi kaleta kama vile ni dhalimu alikuwa Mungu.Kwani binadamu huwa hashukuriwi?
Ndg, inawezekana umesahau historia ya uteuzi wake. JPM hakuwahi kumtaka kabisa huyu mama (sidhani kama kuna mtu mwenye akili zake timamu, anayeona mbali angeweza kumteua kwenye nafasi ya juu kiasi hicho)Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza hayati Magufuli,anasahau mheshimiwa Magufuli alimteua out of blue,hakuna mtanganyika aliyekua anamfahamu wala.
Eti leo hii mtu kama huyo anajifanya kujibishana na kanisa teule la Mungu.
Wakuu,ningekua mimi ndiye Samia Hassan Suluhu na ukilaza wangu nilionao ningekua nakesha kwenye kaburi la Hayati Magufuli nikiimba na kusujudu kila wakati.
Haiondoi ukweli kuwa she is incompetent!Kazi ya Mungu haina makosa.
Kumbuka hilo.
Haya matusi sasaMtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza hayati Magufuli,anasahau mheshimiwa Magufuli alimteua out of blue,hakuna mtanganyika aliyekua anamfahamu wala.
Eti leo hii mtu kama huyo anajifanya kujibishana na kanisa teule la Mungu.
Wakuu,ningekua mimi ndiye Samia Hassan Suluhu na ukilaza wangu nilionao ningekua nakesha kwenye kaburi la Hayati Magufuli nikiimba na kusujudu kila wakati.
ni mtu wa hovyo kabisa katika historia ya taifa letu.Ndg, inawezekana umesahau historia ya uteuzi wake. JPM hakuwahi kumtaka kabisa huyu mama (sidhani kama kuna mtu mwenye akili zake timamu, anayeona mbali angeweza kumteua kwenye nafasi ya juu kiasi hicho)
Uteuzi wake ulitokana na hao wanaomshauri sasa! Huo ndio ukweli.
Na hata alisema wazi kwamba hakuwa tayari na alikataa, wakambembeleza akubali! Binafsi sikuwahi kumkubali tangu akiwa makamu, na wala si kwa ubaya bali kuna sababu za msingi kabisa!
Kama Mama Samia hana mvuto kwanini asingeteuliwa mama yako kuwa makamu wa Rais?Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza hayati Magufuli,anasahau mheshimiwa Magufuli alimteua out of blue,hakuna mtanganyika aliyekua anamfahamu wala.
Eti leo hii mtu kama huyo anajifanya kujibishana na kanisa teule la Mungu.
Wakuu,ningekua mimi ndiye Samia Hassan Suluhu na ukilaza wangu nilionao ningekua nakesha kwenye kaburi la Hayati Magufuli nikiimba na kusujudu kila wakati.
Kama alikuwa hafai kwanini JPM hakumteua mama yako kuwa VP?Ndg, inawezekana umesahau historia ya uteuzi wake. JPM hakuwahi kumtaka kabisa huyu mama (sidhani kama kuna mtu mwenye akili zake timamu, anayeona mbali angeweza kumteua kwenye nafasi ya juu kiasi hicho)
Uteuzi wake ulitokana na hao wanaomshauri sasa! Huo ndio ukweli.
Na hata alisema wazi kwamba hakuwa tayari na alikataa, wakambembeleza akubali! Binafsi sikuwahi kumkubali tangu akiwa makamu, na wala si kwa ubaya bali kuna sababu za msingi kabisa!
Kwa sababu wewe unamuabudu Magufuli inatosha endelea kumshukuru. Lakini kwa taarifa yako ni NEC ya CCM ndiyo ilipitisha majina yote mawili ba kila jina lilipigiwa kura kwenye karatasi ya kuraMtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza hayati Magufuli,anasahau mheshimiwa Magufuli alimteua out of blue,hakuna mtanganyika aliyekua anamfahamu wala.
Eti leo hii mtu kama huyo anajifanya kujibishana na kanisa teule la Mungu.
Wakuu,ningekua mimi ndiye Samia Hassan Suluhu na ukilaza wangu nilionao ningekua nakesha kwenye kaburi la Hayati Magufuli nikiimba na kusujudu kila wakati.
Alikuwa kamungu "ntu" ka mleta madaKwahiyo Magufuli alikuwa Mungu hadi ashukuriwe?
Mbona huyo JPM mnaye muabudu naye hakujulikana kumzidi Membe na Lowassa? Acheni mapenzi ya Mungu yatimie. Mungu asipotaka uwe Rais wa Tz utahangaika wee kama Lowassa au Seif Sharrif HamadNdg, inawezekana umesahau historia ya uteuzi wake. JPM hakuwahi kumtaka kabisa huyu mama (sidhani kama kuna mtu mwenye akili zake timamu, anayeona mbali angeweza kumteua kwenye nafasi ya juu kiasi hicho)
Uteuzi wake ulitokana na hao wanaomshauri sasa! Huo ndio ukweli.
Na hata alisema wazi kwamba hakuwa tayari na alikataa, wakambembeleza akubali! Binafsi sikuwahi kumkubali tangu akiwa makamu, na wala si kwa ubaya bali kuna sababu za msingi kabisa!
Uko sahihi kwa 100% ubarikiwe sana!Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza hayati Magufuli,anasahau mheshimiwa Magufuli alimteua out of blue,hakuna mtanganyika aliyekua anamfahamu wala.
Eti leo hii mtu kama huyo anajifanya kujibishana na kanisa teule la Mungu.
Wakuu,ningekua mimi ndiye Samia Hassan Suluhu na ukilaza wangu nilionao ningekua nakesha kwenye kaburi la Hayati Magufuli nikiimba na kusujudu kila wakati.
Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.