Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

Ningekua mimi Samia ningemshukuru sana hayati Magufuli.

Mbona huyo JPM mnaye muabudu naye hakujulikana kumzidi Membe na Lowassa? Acheni mapenzi ya Mungu yatimie. Mungu asipotaka uwe Rais wa Tz utahangaika wee kama Lowassa au Seif Sharrif Hamad
Mkuu pumzika tu, wapumbavu wamekutana wanafarijiana.......kinachofurahisha Mama anasonga mbele tu. Oini kabishana na kanisa katoliki?!!!
 
Mbona huyo JPM mnaye muabudu naye hakujulikana kumzidi Membe na Lowassa? Acheni mapenzi ya Mungu yatimie. Mungu asipotaka uwe Rais wa Tz utahangaika wee kama Lowassa au Seif Sharrif Hamad
Kwa ule wizi wa kura ndio Mungu anataka, acha kumuhusisha Mungu na chaguzi za kihayawani boss.
 
Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza hayati Magufuli,anasahau mheshimiwa Magufuli alimteua out of blue,hakuna mtanganyika aliyekua anamfahamu wala.
Eti leo hii mtu kama huyo anajifanya kujibishana na kanisa teule la Mungu.
Wakuu,ningekua mimi ndiye Samia Hassan Suluhu na ukilaza wangu nilionao ningekua nakesha kwenye kaburi la Hayati Magufuli nikiimba na kusujudu kila wakati.
Lakini ndo. Ushangae ,eeti akina. Mwigulu makamba ,Riziwwni. Nape mssukumu wwnamuona kichwa hasa
 
Back
Top Bottom