kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Ungekuwa MFALME JUHA tena amini nakwambia kuna siku ungetembezwa uchi mitaani.Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa, wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu
Kizazi kinaharibika acha uzuzuUngekuwa MFALME JUHA tana amini nakwambia kuna siku ungetembezwa uchi mitaani.
Uraisi una majukumu mengi makubwa, yaani nchi inapitia kipindi kigumu rais aanze kufikiria nguo za watu wake, wakati hajawahi kuwanunulia hata lesso?
Jinsia ya nini acha uboyaJinsia yako tafadhali.!
DuhThread hii itapingwa vikali hutokaa uamini
Ndio mana hujawa na huwezi kuwa raisi..mana wewe ni zuzu.Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
View attachment 2412484
Eti vijana wa paulo we jamaa una ufala mwingi sana.[emoji28]Ngoja vijana wa paulo na wazee wa upinde wa mvua waje.
Kuelimishwa? Unawajua wanawake wewe?Nchi ipo huru, watu waelimishwe badala ya kutumia mabavu.
Nyie ndo wale waleEmbu nenda zako huko [emoji58]
Utawalazimisha kwa sheria gani?Kuelimishwa? Unawajua wanawake wewe?
Kwa hiyo unataka ukifanyaje?Unapigana na upepo?Kizazi kinaharibika acha uzuzu