Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Fahari ya macho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndo mwanaume sasakutawaka motoView attachment 2412570
Hapo imelalaHuyo ndo mwanaume sasa
Yaan daaHapo imelala
Hadi umateYaan daa
😂😂Huyo ndo mwanaume sasa
ungepata tabu kwel kwel maana daah 😁😁😁Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Gombea uraisi basi ili uanze hili zoeziHii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Hang on a minute! wanaharibu maadili? maadili gani hayo hasa? Hivi unajua maana ya neno maadili au umelitumia tu?Hii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.
Kizazi kinaharibika kwa sababu ya sketi inayovuka magoti kuja juu au suruali za kukatwa? Kwani waafrika walikuwa wakivaa vipi kabla ya wakoloni kuja kuwatawala?Kizazi kinaharibika acha uzuzu
mleta mada akiona vile na domo zege lake anajikojolea mara saba! muwapeleke tena sasa vaeni chupi za kubana kabisa! mpaka mkome umalaya wenu huo! na ole wako uwabake miaka 60 jela!Kizazi kinaharibika acha uzuzu
Babu zenu kabla mkoloni walikuwa wan weka ka ngozi tu mbele
joto banaSababu hawakuwa na mbadala wa mavazi.
Lakini Kwa sasa machaguo ya mavazi yapo mengi tu hivyo mtu halazimiki kuvaa vazi la jinsia nyingine maana ni machukizo machoni pa Mungu.
Mtu atakumiwa kwa dhamiri yake na ukweli wa mazingira alokuwa nayo.
Bora wewe unaelewaImeandikwa;
“Mwanamke asivae mavazi ya mfaayo Mwanaume, na Mwanaume asivae mavazi yamfaayo mwanamke
Maana kufanya hivyo ni machukizo machoni pa Mwenyezi Mungu “
Mleta mada uko sahihi pamoja na madongo unayorushiwa wala usijali mwaya.
Basi mim ningepigwa viboko hadi makalio yakachachaHii ni kwa wote wanaovaa mavazi kama sketi inayovuka magoti kuja juu, suruali za kukatwa.
Wapigwe viboko popote walipo maana wanaharibu maadili ujinga tupu.