Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

Bila shaka unatoka familia masikini pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afunguliwe biashara mara ngapi, ile kampuni ya furniture je? Shares za kampuni (x) pale DSE? Yule mwenzako kitambo alikua na plan B. Hizi ni drama tu analeta za kudraw attention na kusaka sympathy. Sasa kwanini asingeenda kuongea na wazazi au ndugu both sidea kuresolve issue yake anaishia kwenda kupost twitter?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahha Kiongozi nimewaza vile watoto wako wakubwa walivyo/wanavyo/watavyojisikia ukute watoto wako wakubwa wamepigikaa wee walistahili recognition flani wewe kuwakomoa unawekeza kwa wadogo ambao keshokutwa hujui wanaweza kuwa wala ngada wewe unawaza kwa mihemko ya nguvu za papu...

Uzuri wa jina lako kuishia hewani ni pale mjane wako atakapokamatiwa na njemba nyingine....inakuwa kufa kufaana yote kwa hisani ya papu...

Tujifunze kuweka thamani sawa kwa wote wengine wasipendelewe kisa ni wadogo sana au kwa kigezo cha mama yao kuwa hai kuna leo na kesho huwezi jua nini kitatokea,kama kuna mtu anaangalia wale watoto wadogo kwa jicho pana anatakiwa aangalie kwa macho ya hekima.

Tena kwa roho ya ustaarabu nikuheshimu wale watoto wakubwa wanampango mzima na historia ya mzee iliyokamili na si ya miaka mitano ambayo hata kibiashara mzee alikuwa ameshalegeza kasi

Siku zote Kisichoriziki hakiliki hata kwa dawa......na pale unapofanikiwa kukila tu ni lazima utapike/uharishe
 
its too late...
 
Mimi kwa mawazo yangu.. watoto wakubwa wa mengi wamejinyima urithi kwa tabia zao wenyewe..

Mzee mengi alijua hata akiwaachia urithi utapotea tu sababu hawana wa kuwarithisha wao wakifariki..

Mtu mwanaume unamiaka karibu 50 hujawai kuoa na wala huna mtoto.. na baba yako ni tajiri.. je ukiachiwa mali leo.. kesho ukafariki mali zitaenda wapi zaidi ya kupotea..

Mwingine binti miaka 50 naye hana mume wala mtoto hata mmoja.. na yeye akiachiwa mali si zitapotea tu hewani...

Hivi mzee toyota watoto wake wasingezaa na wajukuu wakazaa hii toyota leo ingekuwepo kwa familia ya toyota?? Maana CEO wa sasa hivi wa Toyota bwana akido toyota ni mjukuu wa mzee toyota mwanzilishi...

Angalia familia za wahindi na waarabu hapa Tanzania zinavyotunza mali karne na karne sababu hawaishi maisha ya kihuni... kina dewji wote wanaoa na wanazaa watoto ambao wanaendeleza mali siku zao za kufa zikifika.. na watoto nao wataoa na watazaa watoto hapo mali haipotei kwenye ukoo..


Mzee Mengi ana akili sana aliliona hilo ndio maana akaanzisha familia mpya uzeeni ije iendeleze mali zake... najua Jack kaambiwa asilee watoto kihuni wakawa kama kina regina na kaka yake
 
Kuwa wagumba au Tasa hakukuwa kwenye hesabu zao au ulikuwa ukiwapangia ni lazima kuzaa? maisha waliyoishi na wazazi wao yana mengi sidhani kama mzee mengi alienda kwa miajli ya jack azae ama asizae...
 
Kuwa wagumba au Tasa hakukuwa kwenye hesabu zao au ulikuwa ukiwapangia ni lazima kuzaa? maisha waliyoishi na wazazi wao yana mengi sidhani kama mzee mengi alienda kwa miajli ya jack azae ama asizae...

Niambie tajiri gani kwa level ya mengi watoto wake hawajaoa wala kuolewa.. na wana miaka zaidi ya 40
 
Ndio maana mimi huwa simuamini mtu katika maisha yangu, hapa ninaona kabisa kuwa watoto wa Mzee kukosa Mali na ndugu kula pesa ya marehemu.
Hakuna kuaminiana duniani, Mzee alipaswa kulijua hili. Pia watanzania tunapaswa kugawa mali kabla ya umauti kuepuka migogoro. Tunapenda ufahari kuitwa Matajiri wakati huo huo tunaandaa umauti kwa wazee watoto wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angewekezewa Mabilioni yake Uswizi angekuwa anabunya kimya kimya tu. Huku akifunguliwa biashara za kuzugia na kuwekezewa hisa kwenye makampuni makubwa. Angekuwa anakula Dividend kinyele!
 
Niambie tajiri gani kwa level ya mengi watoto wake hawajaoa wala kuolewa.. na wana miaka zaidi ya 40
Ukiangalia kwa mtazamo wa mazoea ya wingi utakuwa na matokeo ya jumla ambayo si sahihi, wakati hawa wakiwa na miaka thelathini ni wazi mzee alikuwa hai na mama wa watoto alikuwepo kama wote walishindwa kuwaambia watoto wao ukweli hizi lawama hazilali upande mmoja
 
Hiyo ni laana ya mwana aliyezaliwa mke. Eva alifanya vile vile anavyofanya Jack hajatosheka na bado anakwapua.
Eva hakutosheka na matunda mazuri ya Edeni mpaka tunda la mti wa kati akalikwapua.
Jack haj
 
Una uhakika gani K-Lyn hakukatiwa fungu la kufanya biashara zake mapema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu raia humu mnakuwa mnafeli ivi ni kweli jacky anastaili iyo urithi anayotaka? Hao wakubwa na wadogo wote ni watoto wa mengi lakini hao wakubwa wanajua janja ya jacky anataka kujificha kwa kivuli cha hao mapacha ili apige pesa ya uyo mzee... Na mtakuwa ni wapumbavu kama utakubali mali aliyotafuta baba yako kwa ajili yenu nyie watoto afu kuna dem anataka apige pesa asepe nazo.... Acheni izo mambo wakuu dem anafeli sana ivi ni nani mjinga anaweza kukubali mali ya mzazi wake ikapotelee kwa binti kama jacky tafsiri yake ni kwamba dem atakuwa analiwa na raia mwengine na ndo pesa itapoishia uko ndo sababu hao watoto wa mengi wanakomaa... Na hao wakubwa Hawajagoma kuwalea wadogo zao ila jiulize kwann jacky anakomaa achukue mali zote!!!! Ni kafisadi kadogo Dogo kanataka kuleta janja janja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo hapa anachofanya jack atawapa shida Sana watoto wake kwasababu ata akifa leo hawa watoto watakuwa madui wa ndugu zao wakubwa na familia na jack naamini atafanikiwa labda siyo wamachame

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli hiyo familia iko very strategical ukiangalia nyuso zao usoni utagundua kitu Mercy alikuwa mwanamke hatari kabisa kwa jinsi alivyoweza kuwa wing woman wamumewe hadi pale walipoamua kutengana

Kuna jinsi watoto wa Mengi wakubwa wamelelewa ndo maan si rahisi kusikia wao wamepublish wanafanyiwa ubaya kama wangetaka kufanya kiki wangezifanya sana tena kwa kutumia makundi ya Ushabiki mitandaoni lakini utaona tu kuna jinsi wamelelewa.....

Na kama utaangalia vizuri picha za kumbukumbu za msibani Regina na Adriel kuna jinsi wanawaangalia wadogo zao tena inanonesha ni jinsi gani wanawaangalia kama watoto(kwa mwenye akili ataelewa) ila tu shida inakuja sehemu fulani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…