Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

Mali ziligawizwa kwa ma Director 50% share holders between Reginald and Mercy Mengi kwa makubaliano yao wenyewe ,watoto hawakua semehemu ya hiyo stake Mkuu
 
Yaani wakubwa wote wa nchi hii walirudi upande wa kina Regina Na Abdiel ,Jack alitaka kuiba kishamba sana kwanza hata angewalamba matako kina Abdiely na kuwaheshimu kina Benjamini bado wangempa maisha kwaajili ya wale watoto...eti anamkaripia mzee kama Benjamini Mengi akaombe na amuombe msamaha mbele ya vyombo vya habari kukanusha upuuzi wake yaani huo nao ulikuwa usenge mkubwa sana aliofanya hana hata heshima ahangaike na Molohaco na maringo aliyokuwa nayo halafu ajue wachaga utamchezea kila mahali lakini sio kwenye pesa yake....ohooooo..anakutocha kyandu..jack kaa pembeni unapigana na bahari ile convoy huiwezi kuishinda ndio maana hata wakubwa wamepiga kimya wanajua unapambania kisichokuhusu wewe ilikuwa wa kupata asilimia 1au 2 ya utajiri wa mzee Lakini unataka ujidai mama Mengi huo usenge hapana kwakweli.
 
Mali ziligawizwa kwa ma Director 50% share holders between Reginald and Mercy Mengi kwa makubaliano yao wenyewe ,watoto hawakua semehemu ya hiyo stake Mkuu
Jack was there for money halafu k tu impe vyote hata kama Mimi ndio kina Abdy nisingekubali asilani...kwani unafikiri mama Mengi angekuwepo wangeleta ugomvi?hiyo ni natural lazima watoto wa mzee wangecomplain..
 
Pole yake sana... Angejifunza kwa Rita (Madam)...
 
Na kwann umkabe uyo Mzee akuwekezeee biashara .

Kwan una uhakika kati yako nayeye ,yupi atawahi kufa???
... hivi kwa logic ya kawaida tu kati ya binti wa 35- na zee tajiri la 70+ lenye kila aina ya maradhi na msongo wa mawazo ukipima katika mizania ya kawaida kabisa ya probability ni yupi "anategemewa" kutangulia?
 
Suala la Kifo halinaga Probability .

Ndio maana Wazungu watakuambia Muafrika anaishi miaka 65 ..lkn kuna vizee saizi vina 90+

Mimi binafsi suala la kifo,huwa namuachia Mungu mwenyewe ajuaye kila kitu .
 
Mali ziligawizwa kwa ma Director 50% share holders between Reginald and Mercy Mengi kwa makubaliano yao wenyewe ,watoto hawakua semehemu ya hiyo stake Mkuu
... kwa hiyo watoto wakubwa watapiga kwa mama yao na kwa baba watalamba! Yaani ile 50% ya mama wanachukua watoto wakubwa na katika ile 50% wanagawana wote! Ila Mzee Mengi hakuwa makini katika suala la wosia!
 
Vizuri
 
Suala la Kifo halinaga Probability .

Ndio maana Wazungu watakuambia Muafrika anaishi miaka 65 ..lkn kuna vizee saizi vina 90+

Mimi binafsi suala la kifo,huwa namuachia Mungu mwenyewe ajuaye kila kitu .
... ukishaweka neno "Mungu" unaenda kiimani; mimi nazungumzia kisayansi! Ukiacha sababu nyingne kama ajali; kiumbe hufa baada ya seli za mwili kuchakaa; pale seli za mwili zinazokufa ni nyingi kuliko zinazozalishwa. Hoja yangu ni binti mwenye 35- na mzee mwenye 70+ ni yupi mwenye probability ya seli nyingi zaidi kufa?
 
Jack alifungua Biashara yake Ya Fenicha..ila nadhani akalenga watu flani...Kosa katika biashara ni kuacha hela ndogo ambazo mnaona hata Bakhresa haachi hela...Ana Vitu anauza hata tsh 100,500 mara ukwaju mara Nazi

Hii inamsaidia kukusanya hela nyingi sana..Jack angefungua Kiwanda kile cha fenicha akatengeneza vitu tofauti ingemsaidia sana...

Hakufanya hilo...sasa Mgogoro huu ni mkubwa sana...Ni bora waumalize Internally kwa maongezi tu..jack aendelee na maisha yake hata sasa anaweza ..watoto wake wale jamaa walee.
 
Mkuuu suala la kifo huwa sina namna yoyote nayoweza kulizungumzia zaidi ya Kiimani

Ndio maana mwisho wasiku tunasema..Mungu kampenda.

Huwa siwezi lizungumzia kwa akili ya kibinadamu tu
 
... kwa hiyo watoto wakubwa watapiga kwa mama yao na kwa baba watalamba! Yaani ile 50% ya mama wanachukua watoto wakubwa na katika ile 50% wanagawana wote! Ila Mzee Mengi hakuwa makini katika suala la wosia!

Unaweza kudhani Mzee Mengi hakuwa makini,lkn ukiangalia kwa jicho la tatu utaelewa Mzee was smart! Kama kweli alitaka kumpa kile Jacky alitaka,Mzee angefuata taratibu zote ambazo amekuwa akiziishi maisha yake yote,kuna Wanasheria kina Michael Ngallo wapo siku zote ktk maswala yote ya kisheria ya IPP na Mzee Binafsi iweje last minute akubali kutumia wanasheria wengine? Hapa tukubali “The Player has been Played” aliyeuza cheni bandia kapewa pesa bandia. Na mchezo ukaishia hapo.
 
... kwa hiyo watoto wakubwa watapiga kwa mama yao na kwa baba watalamba! Yaani ile 50% ya mama wanachukua watoto wakubwa na katika ile 50% wanagawana wote! Ila Mzee Mengi hakuwa makini katika suala la wosia!

Hapa Lekwilile kampiga bao. Nasikia yeye kaweka asilimia kubwa ya mali zake vizuri kwa watoto wote (kawarithisha na kuwakabidhi mapemaa). Na alikuwa na watoto tele. Sasa Mengi wawili tu (sijui wanne), alishindwa kuwaweka clear wanachotakiwa kupata!
 
Woow. Safi sana. Nimeipenda. Akae kwa kutulia kabisa. Ana kazi ya kugombania maghorofa ya watu
 
Aisee, familia yangu sio ya kipumbavu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…