Ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashikisha adabu Wakenya

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us

Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania.

Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa Idi amini. Siwapendi wa Kenya nawachukia sana
 
Ingekua marais wote wana hiyo mentality yako,basi nchi zote Duniani,sasa hivi zingekua kwenye vita,

Wewe sio tu kua hutakiwi kua kiongozi wa aina yeyote ile,bali wewe mwenyewe sasa hivi unahitajika kua chini ya uangalizi maalum coz hata kujiongoza wewe mwenyewe tu,ni hatari sana kwako na kwa walio karibu na wewe.
 
Analeta mahaba kwenye issue za kutumia Akili timamu.
 
Utachakazwa hadi uchakae in Muroto's voice
 
poor brain, Hufai ata kuwa balozi wa nyumba 10, watu tutapigana marungu !
 
Umenikosea sana , umekimbilia kunitazama kwa mtazamo negative wewe unachukuliaje nchi yako ikifanyiwa figisu mbalimbali na dharau ukiwa kiongozi mzalendo na mwenye mahaba na nchi yako hauwezi kuruhusu hilo
 

Ukitaka udharauliwe mpaka na mkeo na watoto endeshwa na Mihemko kama hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…