Ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashikisha adabu Wakenya

Ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashikisha adabu Wakenya

Cc tunauzoefu wa Vita wao hawajawahi kupigana na nchi yeyote ya jirani
Wewe kuna data nyingi sana huna kama kawaida ya ma CHAWA..
========================

As of 2026, the Kenya Defence Forces (KDF) generally hold a stronger, more modern, and tactical military position compared to the Tanzania People's Defense Forces (TPDF), ranking #74 vs #89 globally on the Global Military Index.

Kenya maintains superiority in air power and technology, while Tanzania has a larger personnel base and a strong history of regional conflicts.

Key Comparison Metrics (2026) Ranking:

Kenya (#74) holds a higher ranking than Tanzania (#89).

Air Power:
Kenya has roughly 120 aircraft, including 23 combat jets, while Tanzania operates around 43, including 20 fighters.

Ground Power:
Kenya holds an advantage in tanks with 188 compared to 62 in Tanzania.

Budget:
Kenya ($1B) has a slightly higher defense budget than Tanzania ($0.9B).

Operational Experience:
Kenyan forces have significant experience in modern, asymmetric warfare in Somalia (AMISOM), while Tanzania has a history of major conventional conflict (1978 Kagera War).

In summary, Kenya's military is generally seen as more modern and capable of rapid, specialized operations
 
Chanzo cha haya yote ni CCM tu.
 
Wewe kuna data nyingi sana huna kama kawaida ya ma CHAWA..
========================

As of 2026, the Kenya Defence Forces (KDF) generally hold a stronger, more modern, and tactical military position compared to the Tanzania People's Defense Forces (TPDF), ranking #74 vs #89 globally on the Global Military Index.

Kenya maintains superiority in air power and technology, while Tanzania has a larger personnel base and a strong history of regional conflicts.

Key Comparison Metrics (2026) Ranking:

Kenya (#74) holds a higher ranking than Tanzania (#89).

Air Power:
Kenya has roughly 120 aircraft, including 23 combat jets, while Tanzania operates around 43, including 20 fighters.

Ground Power:
Kenya holds an advantage in tanks with 188 compared to 62 in Tanzania.

Budget: Kenya ($1B) has a slightly higher defense budget than Tanzania ($0.9B).

Operational Experience:
Kenyan forces have significant experience in modern, asymmetric warfare in Somalia (AMISOM), while Tanzania has a history of major conventional conflict (1978 Kagera War).

In summary, Kenya's military is generally seen as more modern and capable of rapid, specialized operations
Brz Majeshi yote Makubwa Duniani huwa wana conceal weapons zao , ukiona jeshi lina kerere nyingi kutangaza silaha zake ujue hizo ni mbinu za intimidation tu , Usituchukulie poa Tanzania halafu ili kushinda vita yeyote sio tu Silaha unazomiliki inategemea na akili za amiri jeshi mkuu anayeongoza kama haujui ktk ile vita ya Kagera amini alituzidi kila kitu wa Tanzania tena alikuwa na Support ya Gadafi lakini akili na mbinu za Nyerere zilituwezesha kushinda
 
Ushike usukani wa nini ?
Wengine mmezaliwa kushika mapumbu tu.
Kafie mbele.
 
So what, hayo mbona ni maisha ya mashindano ya watu wa mtaani. Let them feel so
Kama nchi lazma tuwe na mikakati ya kuwa Super power na tuogopwe kama mataifa yote makubwa yanavyofanya Duniani , hata tukitawala ktk region yetu hii ya Afrika mashariki inatosha
 
Elimu ya Kenya ina ubora.
Kuongea tu English , au elimu gani unayoisemea ambayo ipo Kenya na hapa Tanzania haipo ktk zama hizi , Dunia imefunguka sana sasahivi mtu kuelimika ni suala la kuchagua tu
 
Brz Majeshi yote Makubwa Duniani huwa wana conceal weapons zao ,
How do you conceal wakati unaagiza silaha zote, hutengenezi? Hata wale wanaotengeneza zana zao nyingi, nguvu zao zinafahamika vizuri tu.

Kuna siku niliwahi kuona makamanda wazungu wamevaa kijeshi kabisa pale Lugalo, na wanaendeshwa ndani ya magari ya JW. Hakuna siri yoyote bro
halafu ili kushinda vita yeyote sio tu Silaha unazomiliki inategemea na akili za amiri jeshi mkuu anayeongoza
Hahaha,
Akili ya amiri jeshi gani?
Huyo huyo anayesema bei ya petrol USA na EU ni usd 8000 kwa kila lita moja??
 
How do you conceal wakati unaagiza silaha zote, hutengenezi? Hata wale wanaotengeneza zana zao na nguvu zao zinafahamika vizuri tu.

Kuna siku niliwahi kuona makamanda wazungu wamevaa kijeshi kabisa pale Lugalo, na wanaendeshwa ndani ya magari ya JW. Hakuna siri yoyote bro

Hahaha,
Akili ya amiri jeshi gani?
Huyo huyo anayesema bei ya petrol USA na EU ni usd 8000 kwa kila lita moja??
Ku conceal ni cc kwa cc wa Afrika maana Dunia ilipofika hakuna nchi ya Afrika ina uwezo wa kupambana na nchi ya bara lingine kwahiyo tunatambiana humu humu au niseme cc kwa cc
 
Ku conceal ni cc kwa cc wa Afrika maana Dunia ilipofika hakuna nchi ya Afrika ina uwezo wa kupambana na nchi ya bara lingine kwahiyo tunatambiana humu humu au niseme cc kwa cc
Usijidanganye bro,
Nguvu na uwezo wa majeshi yote duniani unafahamika na orodha zipo wazi tu.

Tuwe wakweli, Kwa mujibu wa Global Military Index ya karibuni zaidi, Kenya inatuzidi.

Pitia the latest ranking hapa chini..

2026 Military Strength Ranking https://www.globalfirepower.com/countries-listing.php
 
Utoto raha sana
Kwahiyo raia wa Marekani akizungumza mawazo yake kwamba anaichukia labda Iraq siku akiwa kiongozi angependa kuwashambulia ni sawaa lakini mimi mswahili nikiongea mawazo yangu kwamba nalichukia Taifa fulani natamani ningekuwa kiongozi niwape mkong'onto ni utoto .


Always be visionary ingawa mimi sina interest na mambo ya uongozi hayo ni mawazo tu
 
Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us

Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania.

Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa Idi amini. Siwapendi wa Kenya nawachukia sana
Sisi ni taifa la makondoo. Tukiitwa taifa la makondoo hatujadharauliwa—ndio uhalisia wenyewe.

Kondoo hawachagui kiongozi. Wanaswagwa tu, na hawachagui mswagaji.
 
Back
Top Bottom