Ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashikisha adabu Wakenya

Ningekuwa kiongozi wa nchi ningewashikisha adabu Wakenya

Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania . Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa Idi amini. Siwapendi wa Kenya nawachukia sana
Kwa hali ilivyo hapa Tanzania., Ungeanzisha vita na Kenya, hawa hawa Watanzania wangejiunga na Jeshi la Kenya kukuangamiza
 
Yaani banter za mitandaoni ndio zinakufanya uwe emotional kiasi hiki?.. Kenya ungejua wanavyoshobokea vitu vyetu ikiwemo mziki ,filamu n.k usingeandika haya... Kenya na sisi tunaheshimiana sana.. maana almost chakula chao wana import kutokea Tz kama hujui... Sasa dharau gani wameonyesha? Usiendeshwe na mihemki ya Fb
 
Na mimi nafanya battle za mtandaoni kama wao
 
Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us

Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania.

Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa Idi amini. Siwapendi wa Kenya nawachukia sana
Sjui kama hujui kenya iko juu kiuchumi kuizidi Tz?
 
Miongoni mwa vitu Jomo Kenyatta aliwafanyia wakenya vyenye manufaa ni;
Kutonajisi au kuleta siasa kwenye elimu ya Kenya.
Kutoleta upuuzi wa ujamaa hapo Kenya.
Kukiacha kiingereza kuwa lugha ya taifa la Kenya.

Kuhusu mada; Kenya wapo mbali sana kwa vitu vingi, ukilinganisha na bongo lala yetu.
Miongoni mwa vitu mwalimu Julius Nyerere alitufundisha wa Tanzania ni kujiamini ndioomaana tulipovamiwa na adui aliongea kauli ya kishujaa , uwezo wa kumpiga tunao , sababu ya kumpiga tunayo , na pia alituonganisha kama Taifa tukaweka pembeni udini na ukabila
 
Back
Top Bottom