Kwa hali ilivyo hapa Tanzania., Ungeanzisha vita na Kenya, hawa hawa Watanzania wangejiunga na Jeshi la Kenya kukuangamizaFrankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania . Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa Idi amini. Siwapendi wa Kenya nawachukia sana
We utakuwa mkenya siamini kama ni m Tanzania , we unajua the way wa Kenya wanatuongelea wa TZ , vita ya maneno kama hii pia ni sehemu ya mashambulizi kwaoUkitaka udharauliwe mpaka na mkeo na watoto endeshwa na Mihemko kama hii.
Duh !We utakuwa mkenya siamini kama ni m Tanzania , we unajua the way wa Kenya wanatuongelea wa TZ , vita ya maneno kama hii pia ni sehemu ya mashambulizi kwao
Na mimi nafanya battle za mtandaoni kama waoYaani banter za mitandaoni ndio zinakufanya uwe emotional kiasi hiki?.. Kenya ungejua wanavyoshobokea vitu vyetu ikiwemo mziki ,filamu n.k usingeandika haya... Kenya na sisi tunaheshimiana sana.. maana almost chakula chao wana import kutokea Tz kama hujui... Sasa dharau gani wameonyesha? Usiendeshwe na mihemki ya Fb
Wa Tanzania cc ni wa moja sana linapokuja suala la Kitaifa , yaliyotokea hv karibuni ni upepo mbaya tu ulipitaKwa hali ilivyo hapa Tanzania., Ungeanzisha vita na Kenya, hawa hawa Watanzania wangejiunga na Jeshi la Kenya kukuangamiza
Sjui kama hujui kenya iko juu kiuchumi kuizidi Tz?Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us
Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania.
Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa Idi amini. Siwapendi wa Kenya nawachukia sana
Kwani ukiwa na pesa mfukoni inazuia mtu kukurushia ngumiSjui kama hujui kenya iko juu kiuchumi kuizidi Tz?
Unaongea na General akili ya kijeshi wewe mgambo hauwezi kunielewa pita pembeniKwa akili hiyo hata kwako inatakiwa uongozwe na mkeo akitoka mkeo kijiti akabidhiwe mtoto wako, maana una mentality ya kidwazi.
Ungepigwa kama ngoma.Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa Idi amini.
Watu kama nyinyi aldolf alikuwa anawatia kwenye mapipa ya acid, maana hamna msaada kwa taifa.Unaongea na General akili ya kijeshi wewe mgambo hauwezi kunielewa pita pembeni
Cc tunauzoefu wa Vita wao hawajawahi kupigana na nchi yeyote ya jiraniUngepigwa kama ngoma.
Jeshi la Kenya ni powerful kuliko hilo la Tz
Miongoni mwa vitu mwalimu Julius Nyerere alitufundisha wa Tanzania ni kujiamini ndioomaana tulipovamiwa na adui aliongea kauli ya kishujaa , uwezo wa kumpiga tunao , sababu ya kumpiga tunayo , na pia alituonganisha kama Taifa tukaweka pembeni udini na ukabilaMiongoni mwa vitu Jomo Kenyatta aliwafanyia wakenya vyenye manufaa ni;
Kutonajisi au kuleta siasa kwenye elimu ya Kenya.
Kutoleta upuuzi wa ujamaa hapo Kenya.
Kukiacha kiingereza kuwa lugha ya taifa la Kenya.
Kuhusu mada; Kenya wapo mbali sana kwa vitu vingi, ukilinganisha na bongo lala yetu.
Ningewatafutia sababu tu ya kugombana nao , malengo kuwakandamiza ili Tanzania iwe Super power Afrika masharikiUngeenda vitani kisa kusemwa vibaya na wakenya?
Sio kila mtu huwa anajinyea ndotoni kama wewe usikaliliAmka ndotoni utajinyea
Wakenya ni mabesti zetu hujui tuNingewatafutia sababu tu ya kugombana nao , malengo kuwakandamiza ili Tanzania iwe Super power Afrika mashariki