guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Hongera kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka 2025 ni mbali sana. Kumbuka ya JK na membe; hapa TZ katika urais lazima mtu apige hesabu sana la sivyo lazima atadondoka. Kumbuka hata Mwalimu Mwinyi haikuwa chaguo lako, alikuwa na chaguo lake lakini mwisho kilinuka.2025 kama huyu dikteta bado yuko madarakani huyo ndiye mgombea wake wa Urais hivyo ataendelea KUMBEBA.
Kaka 2025 ni mbali sana. Kumbuka ya JK na membe; hapa TZ katika urais lazima mtu apige hesabu sana la sivyo lazima atadondoka. Kumbuka hata Mwalimu Mwinyi haikuwa chaguo lako, alikuwa na chaguo lake lakini mwisho kilinuka.
1. Ubunge - KigamboniNdugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo ubunge anaouhitaji,
Japokuwa ukuu wa mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku hiyo(haikupi uhakika kwamba utakuwa ofisini siku ya kesho) lakini kwangu Ukuu wa mkoa ilikuwa ndio nafasi pekee ya kutamba kwake ukizingatia aliweza kula vizuri na boss wake hivyo kwa vyovyote vile alikuwa na uhakika wa kuwa tena mkuu wa mkoa kwa wakati mwingine tena...
Makonda kaingia serikalini kabla magufuli kuwa waziriMakonda alivyo kichwani zero, sijui bungeni ataenda kuongea Nini, na hata akiwa waziri wizara yake itakuwa inafanya madudu tu, na uongozi huu wa kisukuma ukiisha sijui Kama atateulika Tena hata kwenye nafasi ya udasi
Unajua kwanini Salim Ahamed Salimu baba wa Anjellah hakuupata urais, unajua Malecella baba wa Lemutuz hakupata urais, ni kama mpuuzi bashite atausikia katika bomba ndugu yangu. Utaona katika kamati kuu 2025 na NEC itakavyokuwa hot. By the way, huwezi kuwa Rais wa TZ kama hupo above 50. Urais wa TZ ni cohort ndugu yanguNaam chochote kinaweza kutokea kati ya sasa na 2025 lakini huo ndiyo mtazamo kwa sasa. Kama Bashite angekuwa haogopwi basi angekuwa benchi kipindi kirefu sana kilichopita.
Unajua kwanini Salim Ahamed Salimu baba wa Anjellah hakuupata urais, unajua Malecella baba wa Lemutuz hakupata urais, ni kama mpuuzi bashite atausikia katika bomba ndugu yangu. Utaona katika kamati kuu 2025 na NEC itakavyokuwa hot. By the way, huwezi kuwa Rais wa TZ kama hupo above 50. Urais wa TZ ni cohort ndugu yangu
You wait and see mkuu, big noHakuna FORMULA ya kuupata Urais. Bashite anajua siri nyingi sana ikiwemo utekaji, utesaji wa Watanzania na hata shambulizi la Lissu. Hivyo kuhakikisha ziko salama ni lazima bashite abebwe vile atakavyo dikteta ili siri zake za maovu zibaki ni SIRI.
Sssa wapinzani wajiandae kumuwekea pingamizi mahakamani kuhusu elimu yake na jina lake halali. Mzee baba alimbeba hapa hataweza tenaUkute boss wake ndiyo kampa go ahead, Mnyeti pia
Ni kwa sababu ya ujinga wa watu tu.You may hate him, lakini kati ya watu wenye uhakika wa kupata lundo la kura kwenye ubunge no Makonda, like it or not.
akigombea Urais kutatokea na mpasuko mkubwa kushinda wa 2015.1. Ubunge - Kigamboni
2. Speaker - BJM
3. 2025 Agombee urais kwa ticket ya CCM
Huyo ndio mpango/mkakati wa babaake anavyomwandaa
Subiri uone...
Kwasasa tunaongea hivi lakini siasa za Tanzania upepo hubadirikaga. Tusubiri tuone mkuuakigombea Urais kutatokea na mpasuko mkubwa kushinda wa 2015.
Kingine hakuna atakayekubali uraisi uende zone ileile , kabila lile lile consecutively...
Ni rahisi sana Rizone kuwa Raisi kushinda Paulo
Tofautisha kushinda kwa kupigiwa kura na kushinda kwa kutangazwa mkuu..Wengi wanashindwa kwa kura ila wanashinda kwa kutangazwa.Gambo hatoboi