Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

Naelewa sana tu.lakini mshenzi zaidi ni roman empire.Leo wanajifanya wana mkuu wa DINI ya kikatoliki kwao wakati ndiyo walisabahisha shida hii ya Leo.why wavunje hekalu la Mungu? Wamelaaniwa wale nakwambia.


Na kama ni ottoman empire ndiyo walijenga msikiti juu ya msingi wa hekalu la Suleiman basi Wahayudi wanahaki ya kujitetea kuondoa utumwa huu
 
Cha kushangaza Mtume wao alitabiri kuwa Waislam adui mkubwa ni Waturuki na waturuki hawatokuja kuwa Waislam hadi kiama.. cha kushangaza ndio kinyume chake.. na ndio walio geuza mji chimbuko la Ukristo Antokia na kuugeuza kuwa jiji la kiislam.. Kanisa kubwa la Kwanza Lipo Uturuki lililojengwa kwa nguvu za utawala za Mfalme Constantino... ifike time waturuki nao watimuliwa Ankara the Land of Christians
 
Leta Aya sisi hatusikilizi porojo hakuna muislam atakuelewa kwa maneno matupu
 
Yesu Kristo sio Issa bin mariam
 
Uislamu ni zao la Ukatoliki, uliomgeuka mzazi wake.

Mauaji yote ambayo Uislamu umefanya katika kwa mgongo wa dini, ni halali kabisa kuyashutumia kwa mama yake mzazi & mlezi mpenda-damu.
Bwana Jason.. Ikiwa ni hivyo, ili Dai la Yesu si Mungu huyu Mtoto alilitoa wapi wakati Baba yake anasadiki kuwa Yesu tu si MUNGU bali hata aliyemzaa amepewa Daraja la Utakatifu.
Kwamba Baba alimfundisha mwanae kinyume nayeye anavyoamini?.
Yaani Baba anaamini Yesu ni Mungu ila akamfundisha Mwanae kuwa Yesu si MUNGU?.
Hii Dunia, basi tu!!.
 
Maalim.. Lakini Allah huyo huyo Allah aliwai mpa Majini Sulaiman yamjengee sanamu kwenye Nyumba ya Ibada.
 
Uenda anailamu Roman kwa kushindwa kwake na Othman.
Surely, msikiti ulijengwa baada ya kushindwa kwa Roma.
So, mleta mada analaumu Roma kwa anguko lake, wasingelishidwa msikiti usingelijengwa.
 
na nyiny mlivyiporwa ardhi zenu ilikues kutimiza maandiko gan ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
uislam ni harakati za dini zilizotokana na upingaj ukatolik , ndio maan wao hawakutala taswira ya nabii au mitume hata mmoja iwepo either kwenye muvi au picha au simulizi kama huna akili huez elewa

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
kama warumi wasingeanzisha jitihada za kufuta historia ya wayaudi hapo jerusalem bas haya ya ottaman yasingepata nguvu

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Uislamu ni zao la Ukatoliki, uliomgeuka mzazi wake.

Mauaji yote ambayo Uislamu umefanya katika historia kwa mgongo wa dini, ni halali kabisa kuyashutumia kwa mama yake mzazi & mlezi mpenda-damu.
Unasifia kuua wengine?!
sasa huu ndio ushetani wenyewe tunaosemea klila siku.
 
Wewe umejibu kiimani changanya na hisia zako binafsi.
 
Roman empire ndio waasisi wa Freemason.

Mathanzua
 
Msilazimishe Issa Bin Mariam wa kwenye Quran kuwa ndiye Yesu Kristu. Nakataa katakata.
 
Kuna vingi usivyo vijua kuhusu uislam na ukatoriki utaushia kutukana tu!.. Jibu ni hilo Hilo kuwa ukatoriki ndiyo uliozaa uislam
Alafu wakatoriki sanamu wanazo na hata uislam sanamu pia wanazo haya hizo alama za mwezi na nyota kwenye misikiti yenu Huwa inamaanisha nin?
 
Roman empire ndio waasisi wa Freemason.

Mathanzua

There are several theories about the origins of Freemasonry, ranging from ancient builders to medieval stonemasons.

Still to this day, the roots of modern Freemasonry are the subject of intense speculation, but the general consensus among Masonic scholars is that they lie with the medieval stonemasons who built castles and cathedrals.Read more here History of Freemasonry | United Grand Lodge of England
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…