- Thread starter
- #21
Naelewa sana tu.lakini mshenzi zaidi ni roman empire.Leo wanajifanya wana mkuu wa DINI ya kikatoliki kwao wakati ndiyo walisabahisha shida hii ya Leo.why wavunje hekalu la Mungu? Wamelaaniwa wale nakwambia.Huyu jamaaa anashindwa kutofautisha kati ya Roma empire na Ottoman Empire Roma empire ilitawala Jerusalem na baadae kuja pinduliwa na Ottoman empire ambayo ndo walisababisha uwo msikiti wa Al aqsa kujengwa ebu uwe unafanya tafiti sio Mrumi ndo alusababisha Al aqsa kujengwa uwe unapambanua vitu...
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Na kama ni ottoman empire ndiyo walijenga msikiti juu ya msingi wa hekalu la Suleiman basi Wahayudi wanahaki ya kujitetea kuondoa utumwa huu