Huyo jamaa ukabaji sifuri akiwa pekee ake huo ndo ukweli,mechi ya asec ilionesha hilo, mechi ile ya simba na yanga ya goli la morrison, patners wake kwenye eneo hilo ndo wanamfanya aonekane mchezaji,kotei,fraga, lwanga na sasa kanouteWasemeni Wote ila siyo Jonas Mkude Ok?
Huna Akili ya Kuujua Mpira kaa pembeni.Toa Mkude weka Lwanga, toa Kibu weka Kanote.
Hakuna Kiungo Mkabaji bora Tanzania hii kama Jonas Gerald Mkude na ukiwa unajua Mpira na umebahatika hata tu Kuucheza utakubali kuwa kuna Siku Mpira unakukataa ila kwa Unafiki wako hujasema kuwa mwaka Jana Simba SC ilipocheza na Plateau FC ya Nigeria kule Kwao Mkude ndiyo aliupiga mwingi mpaka Kusifiwa Tanzania nzima.Huyo jamaa ukabaji sifuri akiwa pekee ake huo ndo ukweli,mechi ya asec ilionesha hilo, mechi ile ya simba na yanga ya goli la morrison, patners wake kwenye eneo hilo ndo wanamfanya aonekane mchezaji,kotei,fraga, lwanga na sasa kanoute
Asante mkuuUkimchukia Jonas Mkude jua huna Akili.
Sijui watu huwa wanaona msaada upi kwa Bwalya zaidi ya hizo back pass na kuchelewesha mipiraHivi Bwalya ana nini zaidi ya back pass?mchezaji anapoteza mipira Kirahisi sana
Nashauri centr forward muweke mo dewjiKikosi cha Kuanza ( cha Maangamizi )
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Joash Onyango
6. Jonas GENTAMYCINE Mkude
7. Pape Ousmane Sakho
8. Rally Bwalya
9. Kibu Denis
10. Meddie Kagere
11. Peter Banda
Wa Akiba wawe hawa
1. Beno Kakolanya
2. Israeli Mwenda
3. Kennedy Juma
4. Bernard Morrison
5. Thadeo Lwanga
6. Yusuph Mhilu
7. John Boko
8. Muzamiru Yasin
9. Saido Kanoute
10. Jimmyson Mwanuke
11. Pascal Wawa
Mwanangu Mkude leo 'Dimba' ni lako.
Hahahhaha utakuja kuikana hii comentHata Simba mruhusiwe mchezeshe wachezaji 22, leo ni kipondo tu: Full time simba 0 - 3 usgn.
Na mkirudi kwenye nbc league mayele anawasubiri, tarehe 6 lazima mchukue mkono
Acheze mkude kipindi cha kwanza kipindi cha pili tadeo akate umemeMkude ni uchochoro..kwa washambuliaji wakali kama kina Adebayo hatuhitaji kubet hapo katikati. Lwanga inatakiwa akate umeme mazima hapo katikati
umeongea upupu sana kazi kupopoma tuHujui Mpira acha Kutupotezea tu muda.
Huwa ndio kabisa akili huna, Mkude amuweke nje Lwanga, angalia magoli mengi anayofungwa Simba chanzo nani, Mkude anakabia macho.Huna Akili ya Kuujua Mpira kaa pembeni.
Mungu Ibariki SimbaKikosi cha Kuanza ( cha Maangamizi )
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Joash Onyango
6. Jonas GENTAMYCINE Mkude
7. Pape Ousmane Sakho
8. Rally Bwalya
9. Kibu Denis
10. Meddie Kagere
11. Peter Banda
Wa Akiba wawe hawa
1. Beno Kakolanya
2. Israeli Mwenda
3. Kennedy Juma
4. Bernard Morrison
5. Thadeo Lwanga
6. Yusuph Mhilu
7. John Boko
8. Muzamiru Yasin
9. Saido Kanoute
10. Jimmyson Mwanuke
11. Pascal Wawa
Mwanangu Mkude leo 'Dimba' ni lako.
Amen mwanangu!Mungu Ibariki Simba